A
Anonymous
Guest
Kumekuwa na viashiria vya rushwa kwenye utoaji wa mikopo ya 10% kwa Vijana katika Wilaya ya Newala Vijijini Mkoani Mtwara.
Tuliunda kikundi na kufata taratibu zote lakini mwishoni tunaelezwa tutoe chochote ili waweze kupitisha ombi letu.
Maana ya kuomba mkopo ni dhahiri kwamba hatujitoshelezi hivo tunahitaji kujikwamua lakini bado tumekwamishwa.