Kuna viapo na maagano vilifanyika utotoni

Hivi wazungu hawana hayo maagano..?..maake huu ujinga umetamalaki kwetu huku uswahilin tu
Vya Africa ni cha mtoto kwa hawa watu weupe. ...wazungu, wachina, wahindi, nk. ..
 
Mashana jf kuna tukio moja lilitokea Mzee mmoja alikuwa na ng'ombe wake, mke wake alikuwa analazimisha wamchinje lakini yeye alikuwa anakataa kuna SIKU yule Mzee kaondoka lakin wakati aliporudi nyumban kwake kakuta yule Ng'ombe mke wake kamchinja kawatuma watu na pale pale Mzee kadondoka na yeye kafaa.Matukio kama haya MTU anakabiziwa kitu lakini hamwambii mwenzake kuwa uhai wangu unashikiliwa na hiki kitu ndo masharti yenyewe
 
mshana jr mimi nahitaj kujua kama mtu amechanjiwa kinga alaf baada ya muda kidogo yule mtu akaamua kufuata dini kikamilifu. je yule mtu atakuwa na kinga mbili yaan ile ya kuchanjwaa ana kule kushika dini(mfano mkristo akaamua kuokoka)?. au ile dini yake itaaondoa ile kinga aliyokuwa nay kutoka kwa mtaalam na abakiwe na ile ya dini?
 
Haya mambo ni magumu kusema ndio au hapana moja kwa moja. ...lakini Maranyingi dini huweza kufuta laana maagano na viapo vya ukoo au vya udogoni
 
Mashana jf kuna tukio moja lilitokea Mzee mmoja alikuwa na ng'ombe wake, mke wake alikuwa analazimisha wamchinje lakini yeye alikuwa anakataa kuna SIKU yule Mzee kaondoka lakin wakati aliporudi nyumban kwake kakuta yule Ng'ombe mke wake kamchinja kawatuma watu na pale pale Mzee kadondoka na yeye kafaa.Matukio kama haya MTU anakabiziwa kitu lakini hamwambii mwenzake kuwa uhai wangu unashikiliwa na hiki kitu ndo masharti yenyewe
Kuna baadhi ya masharti hutakiwi kusema kila kitu...na hili ndio tatizo kubwa kwenye haya mambo...!
 
Imeandikwa,
Baba zao walikula zabibu mbichi lakini ganzi la meno lilienda mpaka kwa watoto wao.

Maagano huendelea mpaka kizazi cha nne cha muhusika, watu wamekuwa wakipata shida bila kujua chanzo cha tatizo. Mbaya zaidi hukimbilia kwa waganga kuyatatua, shetani anaweza akamuhujumu shetani mwenzie? Jibu ni hapana, Mungu pekee ndiye kimbilio.
 
Haya mambo ni magumu kusema ndio au hapana moja kwa moja. ...lakini Maranyingi dini huweza kufuta laana maagano na viapo vya ukoo au vya udogoni
mshana kwan mtu alichanjia si huwa ile dawa inaendelea kuwa mwilini kwake mpaka itakapoisha muda wake ata kama yule mtu akiamua kuokoka kikamilifu?
 
Inabidi wazazi wasiwe wanahusisha watoto kwenye hayo mambo make wanawaingiza watoto kwenye maagano wasioyajua, wajifanyie wenyewe
 
Mshana jr,mie inaniachaga hoi ile ya mtu kutembea na mke au mume wa mtu,halafu wanang'ang'aniana hadi mwenye mali aje kufanya dawa,dah waafrika kiboko aisee.
 
Maagano yamesababisha watoto kupata shida ukubwani bila wao kujua,unakuta ktk familia wasichana wote hawaolewi hata kama ni wazuri wa sura na tabia,au wakibahatika kuolewa wanaachika,au wakiume hawaoi,au kuna tatizo la kupata watoto,au familia zingine ni umaskini wa kupindukia tangu enzi za mababu hadi leo,yani mtu msomi kwao ameishia form 4.sasa hapo wasipofanya jitihada ya kujua na kufuatilia aina ya maagano yaliowafunga itaendelea hivyo kizazi baada ya kizazi.
 
mshana kwan mtu alichanjia si huwa ile dawa inaendelea kuwa mwilini kwake mpaka itakapoisha muda wake ata kama yule mtu akiamua kuokoka kikamilifu?
Wokovu unaweza kukusaidia tu kwa maisha mapya ya kiroho na kuacha hicho kitu kikifa taratibu japo hakitakuwa na madhara tena kama zamani
 
Mshana jr,mie inaniachaga hoi ile ya mtu kutembea na mke au mume wa mtu,halafu wanang'ang'aniana hadi mwenye mali aje kufanya dawa,dah waafrika kiboko aisee.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hili tego hili...hatari sana! Shida ni kwamba wajuzi wake ni wachache sana
 
Wokovu unaweza kukusaidia tu kwa maisha mapya ya kiroho na kuacha hicho kitu kikifa taratibu japo hakitakuwa na madhara tena kama zamani
Sasa mshana jr mtu hyo ikatokea akaokoka then akajisahau na kurud kweny maisha ya kawaida ile kinga si itaendelea kama kawaida....?
 
Back
Top Bottom