Kuna viapo na maagano vilifanyika utotoni

Kuna viapo na maagano vilifanyika utotoni

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
361,078
Reaction score
831,714
1470152590023.jpg
sifa moja nzuri kwa mtoto anayotakiwa kuwa nayo ni utii, asibishane na wakubwa na akubali bila maswali yale anayoambiwa, hili ni jukumu la mzazi/mlezi
Bahati mbaya sana kuna baadhi ya wazazi na walezi wameitumia hii hakimiliki vibaya..kuwafundisha watoto mambo mabaya au kuwaingiza watoto kwenye viapo na maagano yasiyofaa
Maagano mabaya kabisa ni haya yanayohusisha damu..damu ni kitu hai hivyo hutengeneza roho
1470152873740.jpg
tumeshuhudia wimbi kubwa la watoto wakiwa wachawi mahiri tena wanaofanya mambo ya kutisha hasa...tumeshuhudia ukubwani watu wakiteswa na mapepo yasiyojulikana chanzo chake au kuwa vigumu mno kufuatilia chanzo chake
Wakati huo unakuta wazazi au walezi wanakuwa tayari hawapo duniani na hawakuacha maandishi yoyote kwa kile walichofanyia watoto
Tunaweza kufanya mambo kwa nia njema kabisa lakini tukumbuke kuacha formula ya yale tuliyoyafanya
Hizi ishu za kinga ujasiri na kutengeneza bahati kwa watoto wetu twende nazo kwa tahadhari kubwa kwakuwa huwa na vigezo na masharti na huwa na expire date
 
Hayaa maagano yanakuwa valid hata kama alie ku link kutowepo??
 
Kama yameshatengeneza roho
Au kama hayakuwekewa muda haijalishi uwepo wake
Utajuaje kama unayo haya??

Maana hata kuna wazazi wengine hufanya haya wakijua kuwa ni mila tu kumbe ni maagano
 
Utajuaje kama unayo haya??

Maana hata kuna wazazi wengine hufanya haya wakijua kuwa ni mila tu kumbe ni maagano
-ndoto za kutisha zisizoisha
-magonjwa ya mara kwa mara na magumu kutibika
-mambo kuharibika hasa kwenye mahusiano kazi na biashara
Hizi ni baadhi tu lakini isichukuliwe ndio sababu kwenye kila jambo
 
Hasira na ghadhabu bila tafakuri kuu huwa ni hatari sana ...kitu kama hii hapa pichani ikimhusisha mtoto/watoto kwa namna yoyote ile ili ipate nguvu ...madhara yake hayamuendei mlengwa tuu bali ile roho huwezi kumrudia mtoto kwa namna tofauti na pengine ukubwani
1470155583787.jpg
dhana ya kutumia watoto kwenye ishu kama hizi ni usafi lakini huyu mtoto hatakuwa msafi daima
CC: sumbai
Compact
Expected Value
 
Kuhusu 'Expire date'... maagano hudumu kwa muda gani mpaka ku-expire?

Je kuna 'utalaamu' wa ku-inactivate hayo maagano kwa mtoto hata kama wazazi hawakuacha 'formula' ?

Je kuna maagano yenye manufaa (faida/uzuri) kwa mhusika/mtoto?

-Kaveli-
 
Kaveli
Kuna wazazi huomba ulinzi wa mtoto mpaka atakapojitambua au mpaka mzazi atakapofariki
Wengine huomba bila kizuizi cha wakati
Baadhi ya wazazi huacha wosia kuwa kama mambo yakienda kombo basi fulani afanye jambo fulani au familia ifanye kitu fulani
Njia nyingine ni za kiimani kwa wake waaminio
 
Hasira na ghadhabu bila tafakuri kuu huwa ni hatari sana ...kitu kama hii hapa pichani ikimhusisha mtoto/watoto kwa namna yoyote ile ili ipate nguvu ...madhara yake hayamuendei mlengwa tuu bali ile roho huwezi kumrudia mtoto kwa namna tofauti na pengine ukubwani View attachment 375017dhana ya kutumia watoto kwenye ishu kama hizi ni usafi lakini huyu mtoto hatakuwa msafi daima
CC: sumbai
Compact
Hiii ni nin mkuu
 
Kaveli
Kuna wazazi huomba ulinzi wa mtoto mpaka atakapojitambua au mpaka mzazi atakapofariki
Wengine huomba bila kizuizi cha wakati
Baadhi ya wazazi huacha wosia kuwa kama mambo yakienda kombo basi fulani afanye jambo fulani au familia ifanye kitu fulani
Njia nyingine ni za kiimani kwa wake waaminio

Watu huandamwa na majanga kibao plus mauzaUza maishani kumbe pengine sababu zinakuwa ni unknown viapo na maagano ya utotoni. Duh haya mambo mazito mkuu.

Ahsante kiongozi mshana jr

-Kaveli-
 
mshana jr katika ubora wake. Funguka mkuu kuhusu hizi kinga. Nina rafiki yangu aliniambia eti alienda kwa mtaalam Tanga kujiwekea zindiko kwa kuwa wenzake kazini wanam mind sana. Nikamuuliza walifanya nini? Akasema eti mtaalam alimfanya madawa na mwisho akapasua sijua chungu or what. Na akapewa sijui maji ya chungu na dawa. Anyway sikumbuki vizuri tena historia yake. Mwingine akasema alifanyiwa kinga ya kichwa cha kondoo ambacho kilikuja kufukiwa nyumbani kwake. Mimi nikamuuliza kama kuna masharti. Wa chungu akasema hakupewa masharti ila wa kichwa cha kondoo aliambiwa asiwe anafanya uzinzi njea ya ndoa kitu kama hicho kwa kuwa kinapunguza nguvu ya kinga. Nilichoka kabisa. Mku hebu elezea haya mambo kitaalam na madhara yake ya chungu hicho na hicho kichwa cha kondoo.
 
Zogwale masharti yanatofautiana kulingana na mahitaji ya mtu na aina ya uganga unaotumika
Kuna wa mizimu
Kuna wa wanyama tu na miti shamba
Kuna wa mashetani na mizimu
Halafu kuna wa kumuomba Mungu
Kwahiyo Inategemea unataka nini kwenye nini na mtaalamu anatumia nini kwenye nini
 
Je kuna uwezekano wa mtu kutumia nyota ya mtu mwingne kama upo ebu nielekeze inakuaje na ni madhara gani yanampata yule alochukuliwa nyota yake
 
Back
Top Bottom