Memory nimeiweka kama default lakin apps nashindwa kuziamishia kwenda memory labda unielekeze jinsi ya kuzihamisha
Nunua hiyo OTG cable hizi app amishia kwenye flash utatumia vizuri tu na utaipenda simu yako..
au ingia kwenye storage uweke memory card kuwa default storage
Me mwenyewe natumia Tecno boom j8
kupanga ni kuchagua ndugu....ukibaki nazo ndo matatizo hayo...ukizitoa utapata shida...chagua wpi kuzuri kwakoSiwezi kuzifuta coz na matumizi nazo mkuu
choose between those answersNilikuwa nahitaji tu mawazo kama kuna uwezekano wa kuzihamishia kwenye memory card
Tumia option ya OTG CABLEMemory nimeiweka kama default lakin apps nashindwa kuziamishia kwenda memory labda unielekeze jinsi ya kuzihamisha
Android 5.1 mkuu,kuhusu speed hamna shida ilimradi nizihamishie tu kwenye memory cardToa fb na messenger eka fb lite utafree nafasi ya kutosha tu.
Unaweza ukaeka apps kwenye memory card ila ni ngumu kupata sd card yenye speed nzuri ya ku run hizo apps.
Simu yako ina android ngapi?
Ndio mkuu unaaandika hivi (link2SD)Simu yangu ipo rooted tayari iyo app inapatikana playstore au
Ulete mrejesho tafadhari,mimi nakufuatilia kwa ukaribu,yaani nafanya intact follow up.Asante ngoja nijaribu
Baada ya ya kudownload,nikaanza process yakuzimove inaiandikia hiviInawezekana sema mpaka u root simu yako kisha ukifanikiwa download app inaitwa (link to sd card) baada ya hapo apps zako zote unaweza ziamishia kwa memory card na bado zikasoma