Kuna uwezekano wa kuzihamishia apps kwenye memory card?

Kuna uwezekano wa kuzihamishia apps kwenye memory card?

Fungua setting,nenda kwenye "apps" then utaona option nyingi kama," downloaded","running" ," sd card" nk,select hiyo sd card then utona apps zako zikiwa na option ya kuzimark,,mark app yeyote utaona option chini " move to sd card",select hapo
Mkuu simu yangu ina Downloaded,Running na All basi sd card hamna
 
Zipo ambazo zinakaa kwenye memory card nyingine haziwezekani.
 
Inaonekana tayari simu yako ina option hiyo ya kumoove apps kwenda kwa external hebu jaribu hivi nenda kwenye settings kisha nenda kwenye applications kisha fungua application manager halafu gusa apps unauotaka kuimoove kwenda external kisha ikifunguka kuna optiona utaiyona imeandikwa moove to external iguse kuimoove
 
  • Thanks
Reactions: Ftc
Ukifungua apps itakuwa hivi
9467dee613602f21c81366a00342d214.jpg
 
  • Thanks
Reactions: Ftc
Fungua setting,nenda kwenye "apps" then utaona option nyingi kama," downloaded","running" ," sd card" nk,select hiyo sd card then utona apps zako zikiwa na option ya kuzimark,,mark app yeyote utaona option chini " move to sd card",select hapo
kuhamishia app za system kwenda sd card hukuleti madhara kwa sm?
 
Ni baadh tu ya apps zinaweza kuhama kwenda kwenye SD card. Japo hupunguza speed ya ufanyaji kazi. Maana memory au storage ya simu ni rahisi kuwa accessible kuliko external memory.

Ila kuna uwezo wa kuifix external mmory na ikaonekana kama internal mmemory na ukaweza ku install apps.
Hii ni kwa simu ambazo zina space ndogo ya kufanya installation
 
  • Thanks
Reactions: Ftc
mkuu kwanza simu yako ni android version ngapi?
 
  • Thanks
Reactions: Ftc
Back
Top Bottom