Kuna uwezekano wa kuwako dirisha la 3 la maombi vyuo vikuu?

Riz king

JF-Expert Member
Dec 30, 2018
275
547
Hii nauliza kwa wale tuliokosa mpaka rounds zote mbili tujuzane wadau hivi watafungua dirisha tena au ndiyo nitolee.
 
Lipo ndio, hata ukiingia kwenye Tangazo la mzumbe wanakuambia subiri 3rd round ikifunguliwa
 
Hii nauliza kwa wale tuliokosa mpaka rounds zote mbili tujuzane wadau hivi watafungua dirisha tena au ndiyo nitolee.
Pole Mdg wangu.. usiwe na wasiwasi..

Cha Msingi CHAGUA chuo unachoona Utaweza Ku - FIT.. otherwise itakula kwako
 
Inawezekana tatizo mkopo tarehe 10 ambapo ni j4 ijayo ijayo tena labda kama watasogeza mbele
 
Hii nauliza kwa wale tuliokosa mpaka rounds zote mbili tujuzane wadau hivi watafungua dirisha tena au ndiyo nitolee.
Quoting from TCU..... "Tume inawaasa waombaji wote ambao hawajaweza kutuma maombi ya
udahili katika Awamu ya Kwanza na ya Pili kutokana na sababu
mbalimbali, wawe na subira na watapewa maelekezo mahususi ya
kuzingatia."

Kwa kusema hivyo naamini wanamaanisha kutakuwa na round three
Screenshot_20201030-105238.jpg
 
Guys kwenye list ya tcu multiple admission sipo ila nimepata multiple admission. Hv kuna madhara yoyote
 
Kama uli confirm kabla ya majina ya multiple admission hayajatoka bac jina lako haliwezi kuwekwa kwenye multiple admission
 
Duuuh, haya mambo ya udahili sio poa.. Daaah sasa sijui mtaani nifanye nn na hela hata ya biashara sina
 
iv kunaalie weza kuapply round ya 3 udom na kakukabaliwa kuandkiwa kuwa maombi yapo submitted?
 
Duuuh, haya mambo ya udahili sio poa.. Daaah sasa sijui mtaani nifanye nn na hela hata ya biashara sina

Tulia man me 3rd ndonilipata SUA mkuu nakushaur ukiweka coz usisahau BSC.ext equivalent weng wanapta sema mwaka uu had form 6 wanachkua so nafas Kama nusu kwa nusu.
Mkuu utanishukuru.
 
Ndio.. Sema sikuifikiria Extension Ila sasa nitajaribu kuiweka
 
Back
Top Bottom