Kuna uwezekano wa kuvuna umeme wa radi ?

Kuna uwezekano wa kuvuna umeme wa radi ?

Upo uwezekano ila ni serikali suala la serikali hii itakayotawala milele watusaidie pia tuupate huu umeme milele
 
Daaa!!hapo hata kama msomi unatafuta PHD!!yataka moyo kwanza uache wosia kabisa kwani lolote laweza tokea!!na kwa ngozi nyeusi hakuna atakayethubutu labda wazungu!!kwani siku moja radi ilipiga nikiwa pale bukoba maeneo ya rumuli primary school!!nilijua bwana yesu amerudi na kuchukua watu wake!!!huo wa tanesco wa grid ya taifa kwenye ule niliouona ni wa DC!!!au ule wa unaotoka kwenye charger ya simu kwenda kwenye simu!!HATARIII!!
 
Tupe elimu mkuu Tujitegemee!
Elimu sahihi unaweza kuipata kwa Prof. wa Umeme Prof. Manyahi, yuko pale UDSM. Pili unaweza kupata maelezo ya awali kutoka Wikipedia. Ukweli ni kwamba inawezekana ila changamoto yake kuuvuna umeme huo ni mkubwa. Maana kipande kidogo cha Radi kina nguvu sawa na karibu lita 145 za petrol zikilipuliwa na kuungua ndani ya muda wa sekunde moja ya 1000 (1/1000). Yaani ni mamilioni ya watts kadhaa.
 
Duh!hataree!!yani vere hatarias
 
Huo uwezekano haupo kwa sasa...

Bado haujavumbuliwa mtambo utakaoweza kuhimili kuupokea na kupooza umeme wa radi...

Cc: mahondaw
 
Huo uwezekano haupo kwa sasa...

Bado haujavumbuliwa mtambo utakaoweza kuhimili kuupokea na kupooza umeme wa radi...

Cc: mahondaw
Sio kweli
Watu ulaya wanavuna sana umeme wa radi hebu soma puto LA Zeppelin au Zeppelin balloon miaka mia iliyopita
 
Back
Top Bottom