Kuna uwezekano wa kuupata

Kwani mzigo si uliandikwa namba za mtu anaeupokea ukifika watapiga simu, risiti hamkuipata? Nendeni kila ofisi anza na magari popular

Mzigo alituma jioni… maanake aliutanguliza nia ilikuwa akifika huo mkoa anaoenda akaifuate stend… so kesho yake wakati yuko safari ndio akapata ajali na kufariki…

Risiti atakuwa nayo yeye lakini sasa tutaipatia wapi ndugu na mtu ameenda
 
Kama vielelezo gani??
pakuanzia ni ofisi za hio standi uliposhukia mzigo, ikiwezekana na litra pia, cheti cha kifo pamoja na vitambulisho vya marehemu, vitu vya kudhibitisha nasaba yenu na marehemu, na msaada wa Mungu.
 
Sawa Asante
 
Sawa dear ngoja tujaribu hiyo.. kwaiyo sasa unaenda ofisi za ulipotuma mzigo ama ofisi za ulipoenda mzigo
Ulipotumia mzigo waangalie ni mzigo gani na gari gari ili wawasiliane na ulikopokelewa
 
Pole mshukuru Mungu una uhai… na sisi tulitamani hata marehemu avunjike kiuno ila abaki na uhai. Kwaiyo kila jambo ni mapenzi ya Mungu
Asante mkuu,

Currently nimebadilika Sana mitazamo..

Dunia hii imejaa uncertainty na haya kuti miti,mawe,au milima yanakuta watu.

Mungu Ni mwema kwa kuniweka hai mpaka Sasa

Sifa na utukufu Ni kwake..

Very sorry for your loss.

NB.
Kama alituma kwa kutumia transporter ama bus Kuna details za mtumaji na mpokeaji.. surely 100% mtapata mzigo wenu..

Usisahau kutupa mrejesho
 
Hapo no 2 umetisha 😂😂 unaendaje kwa marehemu kufanya upekuzi, embu pata picha niwewe umepatwa na msiba linakuja kundi kufanya upekuzi unadhani kutakua na maelewano hapo?
 
Yeye mwenyewe ndio alikuwa mpokeaji
 
Pole sana mkuu utapona.
At least unaweza kuandika Jf we tulia tu.
 
Aliyetumiwa mzigo naye siri? Au mnataka kuuwahi kabla haujafika destination?
 
Hapana yaani alitanguliza mzigo kwa basi yeye aliondoka siku inayofuata lengo lilikuwa akauchukulie ofisini
Basi jambo hilo ni jepesi mno.
Mnascout mji aliokuwa alekea na mpate orodha ya mabasi yanayopita huko ili kuulizia mzigo husika. Mnaupata ndani ya muda mfupi
 
Basi jambo hilo ni jepesi mno.
Mnascout mji aliokuwa alekea na mpate orodha ya mabasi yanayopita huko ili kuulizia mzigo husika. Mnaupata ndani ya muda mfupi

Hivi Kama umekaa miezi miwili tutaukuta tu au washataifisha
 
Ukishawasilisha mzigo kuna muda w kuwasiliana na anayeupokea kwa ajili ya kumjulisha ni gari gani na password ya mzigo, Je yeye hakufanya hivyo??
 
Ukishawasilisha mzigo kuna muda w kuwasiliana na anayeupokea kwa ajili ya kumjulisha ni gari gani na password ya mzigo, Je yeye hakufanya hivyo??

Mzigo alikuwa anaupokea mwenyewe yaaani aliutanguliza afu keshoo yake akasafiri kuelekea huo mkoa nia akachukulie stand
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…