Kuna uwezekano wa kuficha siri

Daty

Senior Member
Jul 1, 2011
126
13
Jaman wanajf ivi kama mwanamama kajigundua ana saratani ya shingo ya kizazi na uwezekano wakupata mtoto hakuna. Je aifiche hii siri asimwambie mume wake au amwambie. Na hajawah kupata mtoto
 
Dah! kwanza mpe pole sana .
Yep nadhani ni vizuri akamtafutia mazingira mazuri na akamweleza kwa kituo na kimahaba, kama mume ni mwelewa basi ataongeza mapenzi ili kumpa mke wake matumaini na nguvu ya kukabiliana na hiyo challenge ya kiafya.
Mungu ampe afya njema mgonjwa.
 
Jaman wanajf ivi kama mwanamama kajigundua ana saratani ya shingo ya kizazi na uwezekano wakupata mtoto hakuna. Je aifiche hii siri asimwambie mume wake au amwambie. Na hajawah kupata mtoto
kama sio aling'olewa kizaz kwenye purukushan za kutoa mimba kpindi cha ujana wake, basi kwa upole amueleze jamaa ataelewa tu!
 
Jaman wanajf ivi kama mwanamama kajigundua ana saratani ya shingo ya kizazi na uwezekano wakupata mtoto hakuna. Je aifiche hii siri asimwambie mume wake au amwambie. Na hajawah kupata mtoto

mficha uchi hazai.........................mficha ugonjwa hatibiwi........................hapo n kuchagua kufa na chupi shingoni...............au kushirikiana na mzee kutafuta..........tiba...................na saratani ya shingo ya uzazi utakuta kama siyo mwingi mzee wake kamletea...............kwa hiyo ni vyema akamwajibisha.......................na mzee akapimwe kama siyo msambazaji wa hiyo balaa...........
 
  • pole kwa matatizo yako,
  • mwambie cz anapaswa kulifahamu hilo,
  • ongea na madaktari mapema wakupe ushauri jinsi ya kupambana na hiyo saratani.
 
Tatizo anaogopa kuachwa au kuolewa mke wa pili. Na pia kunyanyasika.
 
Inabidi umjue mume wako kwanza ni mtu wa aina gani. Kama unaona atalichukilia hili jambo negatively, ni bora usimuambie kabisa
 
Siri ya nn jamani! Ni vema akasema na kama kweli mume/mcumba anamapenzi ya kweli hatoweza kumtenga
 
Jaman wanajf ivi kama mwanamama kajigundua ana saratani ya shingo ya kizazi na uwezekano wakupata mtoto hakuna. Je aifiche hii siri asimwambie mume wake au amwambie. Na hajawah kupata mtoto

Kwani kuna mtu huwa anaomba kupata saratani (hata ya shingo ya kizazi)? Sasa aibu ya nini....amshauri tu huyo mume waende pamoja kwa daktari naye aelezewe kwa undani tatizo nini...kama akishindwa kuelewa na kutoa support, basi hata hastahili kuwa mumeo!
 
mficha uchi hazai.........................mficha ugonjwa hatibiwi........................hapo n kuchagua kufa na chupi shingoni...............au kushirikiana na mzee kutafuta..........tiba...................na saratani ya shingo ya uzazi utakuta kama siyo mwingi mzee wake kamletea...............kwa hiyo ni vyema akamwajibisha.......................na mzee akapimwe kama siyo msambazaji wa hiyo balaa...........

JF kiboko............hebu nisadie kujua Mumewe anahusika vipi kataiak kumsababishia gonjwa hili mke?

Pole kwa mgonjwa!
 
Itakuaje akimzalia nje? Na akimuolea mke mwingine je? Ivi kweli atakubali kukosa mtoto kwakuwa mkewe anamatatizo?
 
Back
Top Bottom