kabanga
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 37,208
- 18,476
Wanashangaza sana vijana.....Umeona eehhh kumbe na wewe yamekukuta eeehhh? Yaani mie sina hamu kabisa nimegeuka kuwa mwalimu siku hizi... ila kuna moja ndio iliniacha hoi kaja kufanya field/intern kafanya kamaliza akaaga namuuliza vip report umeandika? ananiambia yanini sasa mie nishamaliza miezi yangu mitatu nasepa nikamwacha hu hu kufika huko anadaiwa report yakamshuka anarudi Dada nisaidie kunitumia report ya waliopita ni edit!!!! Maajabu.............