Sitaki kuamini
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 343
- 1,006
Magu alishakataa kusomesha vilaza... Akawaulize waliotimuliwa UDOM.Mikopo hiyo inatolewa kwa watu wa bachelor degree tu..
ushajiona umefika hapo sirikali kuu eehhhh.....Magu alishakataa kusomesha vilaza... Akawaulize waliotimuliwa UDOM.
Unaongea na mimi au unaongea na simu?ushajiona umefika hapo sirikali kuu eehhhh.....
Note..
Deploma ya kazi gani sasa ? Nenda open univ upige kozi ya mwaka mmoja then utakua qualified kuingia chuo chochotewakuu nawasalimu!
Wakuu matokeo yangu hayaniruhusu kwenda degree (DEE) hivyo option iliyokuwepo ni diploma TU.
Hivyo basi nahofia Ku apply diploma kwani sitaweza kulipia Ada ambayo ni zaidi 1M na pengine kupoteza hata kiasi hiki kidogo cha garama za Ku apply vyuo.
Nimekuja kwenu wanajukwaa kuuliza kama kuna mwenye kujua kama bodi ya mikopo wanaweza kuregeza ule Msimamo wao baada ya Upembuzi kwa Wanafunzi wa ngazi ya degree kukamilika. Nawaza mwezenu nisije kosa vyote maisha ya mtaa magumu!
Karibuni wanajf
Sawa mkuuMikopo hiyo inatolewa kwa watu wa bachelor degree tu..
Diploma in clinical medicine mkuu, open university ndo nini mkuu nifungue TafadhaliDeploma ya kazi gani sasa ? Nenda open univ upige kozi ya mwaka mmoja then utakua qualified kuingia chuo chochote
Sawa mkuu Nashukuru kwa niaba ya vilazaMagu alishakataa kusomesha vilaza... Akawaulize waliotimuliwa UDOM.
Mkuu, sio matusi. Rudia kusikiliza hotuba za mheshimiwa wakati anawatimua wanafunzi wa diploma UDOM. Alisema, vilaza waende kwenye vyuo vya hadhi yao, yeye hatatoa pesa ya kuwasomesha.Sawa mkuu Nashukuru kwa niaba ya vilaza
Ni kweli alisema mkuu na aliwafukuza tena kwa dharau!! ' Hataki vilaza' lakini Mimi si mojawaoMkuu, sio matusi. Rudia kusikiliza hotuba za mheshimiwa wakati anawatimua wanafunzi wa diploma UDOM. Alisema, vilaza waende kwenye vyuo vya hadhi yao, yeye hatatoa pesa ya kuwasomesha.
Mimi ndio nilikuwa nakujibu maana umeuliza.
=======
NB
Nenda kajaribu kuomba vyuo vya ualimu vya serikali kama Kigurunyembe-Morogoro, nadhani wale wanasomeshwa na serikali ila sio kwa mkopo. Ila boom (pocket money) hawapewi.
Sawa mkubwa nahisi umekuja baada ya kuona Mapungufu hayo katika heading yanguRekebisha heading mkuu.
Kuna uwezekano wa HESLB kutoa mikopo kwa wanafunzi wa diploma.
Iwe.
Kuna uwezekano wa HESLB kutoa mikopo kwa wanafunzi wa diploma?
Mbona aliendelea kuwafadhili mpaka wakamaliza?Magu alishakataa kusomesha vilaza... Akawaulize waliotimuliwa UDOM.
Ni kweli alishakataa kusomesha vilaza isipokuwa Kilaza Jesca tu!Magu alishakataa kusomesha vilaza... Akawaulize waliotimuliwa UDOM.
kweli mzee neenda pale biafra OPEN UNIVERSITY ukapige kozi mwaka mmoja then ufaulu vizuri halaf utaqualify kusoma degreeDeploma ya kazi gani sasa ? Nenda open univ upige kozi ya mwaka mmoja then utakua qualified kuingia chuo chochote
Open university kwangu bado kitu kigeni kwangu, Utaratibu upoje mkuu wa kujiunga? Ada Je? Nijuzee kidogo mkuu Tafadhalikweli mzee neenda pale biafra OPEN UNIVERSITY ukapige kozi mwaka mmoja then ufaulu vizuri halaf utaqualify kusoma degree