GE2025 Kuna uwezekano wa CCM kuanguka

GE2025 Kuna uwezekano wa CCM kuanguka

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
inawezekana kabisa ila kwa mfumo wa nchi yetu hiki ni chama kimoja kabisa kukitoa inahitajika nguvu tofauti na hii unayoandika hapa
 
Labda sio hii CCM tunayoijua.
Hainguki hivi karibuni, na wahuni watahaikisha hiki chama hakitoki madarakani. Kubaliana na huo ukweli. Watanzania bado sana.
Nimeandika haya baada ya kuwasikiliza wale ambao wanakusanya na kuchakata taarifa zote nchini ikiwemo hali ya Kisiasa.

Unadhani kwa nini Lissu alikamatwa na kuwekwa ndani baada ya uchaguzi wao na si wakati wa vuguvugu la bandari?

Kwa sasa CCM wanaomba uchafuzi upite wapange serikali upya wahamishe na fedha haraka haraka.

Watu si waoga tena, na hili litaonekana siku chache mbeleni ambapo Askari polisi wataanza utoro kazini
 
inawezekana kabisa ila kwa mfumo wa nchi yetu hiki ni chama kimoja kabisa kukitoa inahitajika nguvu tofauti na hii unayoandika hapa
Haya niliyoandika nimeyasikia kwenye taarifa zao wenyewe.

Nakuachia kitendawili, Kwa nini Lissu amekamatwa kipindi hiki cha uchaguzi na si wakati wa vuguvugu la bandari?
 
Declaration of Interest.
Mimi siyo mfanyakazi wa Geti jeusi, ila baada ya kufanya utafiti na mazungumzo kadha wa kadha na vijana wanaofanya kazi hapo, napenda kuleta Habari njema asilimia 80-90% ya hawa vijana wetu kwa sasa hawaiungi mkono Serikali iliyopo, na badala yake wakiwa wajidaliana kwa uwazi kabisa kuwa Watanzania wa sasa sio wa jana.

Wanasema teknolojia imekuwa sana huwezi kuzuia flow of information na kwa kiasi na kasi uoga wa Watanzania umepungua sana, Hawa vijana wamekuwa wakitoa ushauri na nasaa kadha wa kadha juu ya athari zilizopo mbele kwa Taifa kama mtindo wa uongozi haitabadilika.

Endapo Watanzania watafanya maandamano makubwa atleast watu 1000 basi uungwaji mkono wa CCM ndani ya vyombo vya dola utaanguka vibaya mno (Catarophic collapse).

Huu ujumbe ni wa uhakika mkubwa sana, nitoe Rai kwa watu wote mnaojihusisha na uchawa, tukio hili liko karibu ila pengine linaweza likawa la ghafla kwa Chawa, ifike hatua Watanzania tujadili faida za Taifa na sio nani awe Rais.

Ndugu wa Tanzania wenzangu, chonde chonde usimtukane mtu, kuonea mtu au kumdhuru mtu kisa tu hakubaliani na huu utawala.

Hivi karibuni mtashuhudia watanzania wanasimamisha shughuli zao za kila siku na kudai mabadiliko kwa lazima na nguvu.
Eti maandamano! Haya. Yaandaeni. Tunawasubiri saiti!
 
Polepole leo naye amewasirisha tahadhari ambayo imekuwa ikijadwiliwa mara kadhaa na watu wa geti Jeusi, kuwa kuna uwezekano wa CCM kuvunjika, na yeye ameenda mbali na kusema moja ya Mapendekezo ya Siri "tuiache CCM ianguke"

Je unajua kama vyombo vya dola vikijitenga na CCM, Salum Mwalimu anauwezo mkubwa kuliko "Samia"
 
Declaration of Interest.
Mimi siyo mfanyakazi wa Geti jeusi, ila baada ya kufanya utafiti na mazungumzo kadha wa kadha na vijana wanaofanya kazi hapo, napenda kuleta Habari njema asilimia 80-90% ya hawa vijana wetu kwa sasa hawaiungi mkono Serikali iliyopo, na badala yake wakiwa wajidaliana kwa uwazi kabisa kuwa Watanzania wa sasa sio wa jana.

Wanasema teknolojia imekuwa sana huwezi kuzuia flow of information na kwa kiasi na kasi uoga wa Watanzania umepungua sana, Hawa vijana wamekuwa wakitoa ushauri na nasaa kadha wa kadha juu ya athari zilizopo mbele kwa Taifa kama mtindo wa uongozi haitabadilika.

Endapo Watanzania watafanya maandamano makubwa atleast watu 1000 basi uungwaji mkono wa CCM ndani ya vyombo vya dola utaanguka vibaya mno (Catarophic collapse).

Huu ujumbe ni wa uhakika mkubwa sana, nitoe Rai kwa watu wote mnaojihusisha na uchawa, tukio hili liko karibu ila pengine linaweza likawa la ghafla kwa Chawa, ifike hatua Watanzania tujadili faida za Taifa na sio nani awe Rais.

Ndugu wa Tanzania wenzangu, chonde chonde usimtukane mtu, kuonea mtu au kumdhuru mtu kisa tu hakubaliani na huu utawala.

Hivi karibuni mtashuhudia watanzania wanasimamisha shughuli zao za kila siku na kudai mabadiliko kwa lazima na nguvu.
Dogo unaokoteza taarifa ?
Be really .
 
Back
Top Bottom