GE2025 Kuna uwezekano wa CCM kuanguka

GE2025 Kuna uwezekano wa CCM kuanguka

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Declaration of Interest.
Mimi siyo mfanyakazi wa Geti jeusi, ila baada ya kufanya utafiti na mazungumzo kadha wa kadha na vijana wanaofanya kazi hapo, napenda kuleta Habari njema asilimia 80-90% ya hawa vijana wetu kwa sasa hawaiungi mkono Serikali iliyopo, na badala yake wakiwa wajidaliana kwa uwazi kabisa kuwa Watanzania wa sasa sio wa jana.

Wanasema teknolojia imekuwa sana huwezi kuzuia flow of information na kwa kiasi na kasi uoga wa Watanzania umepungua sana, Hawa vijana wamekuwa wakitoa ushauri na nasaa kadha wa kadha juu ya athari zilizopo mbele kwa Taifa kama mtindo wa uongozi haitabadilika.

Endapo Watanzania watafanya maandamano makubwa atleast watu 1000 basi uungwaji mkono wa CCM ndani ya vyombo vya dola utaanguka vibaya mno (Catarophic collapse).

Huu ujumbe ni wa uhakika mkubwa sana, nitoe Rai kwa watu wote mnaojihusisha na uchawa, tukio hili liko karibu ila pengine linaweza likawa la ghafla kwa Chawa, ifike hatua Watanzania tujadili faida za Taifa na sio nani awe Rais.

Ndugu wa Tanzania wenzangu, chonde chonde usimtukane mtu, kuonea mtu au kumdhuru mtu kisa tu hakubaliani na huu utawala.

Hivi karibuni mtashuhudia watanzania wanasimamisha shughuli zao za kila siku na kudai mabadiliko kwa lazima na nguvu.
Binafsi naona itakuwa habari njema mno kwa taifa letu.
 
Kwa nini maandamano hayafanikiwa Tanzania?
1. Ni njia isiyo rafiki na watanzania wanaona hivyo
2. Watanzania wanaona Bado Tanzania ni kisiwa Cha amani
3. Wanajivunia maendeleo yao
4. Wanaamini

Hivyo hakuna uwezekano hata wa asilimia moja maandamano kufanikiwa Tanzania
Usikariri maisha ogopa sana watu wakifika point of No return leo hii walikua wakidhani wanaopotea ni CDM lakini siku zakaribuni tumesikia watu wa mbogamboga wakipotea na hawakuwahi kudhani inaweza kutokea kwao sasa usiishi na ulichokiona jana na juzi katika maisha mchezo unabadilika dk 0 tu, kuna nyakati kifo hakitakua kinaogofya tena mana silence does not gurantee you safety take it or leave it.

No reform No Election
 
Declaration of Interest.
Mimi siyo mfanyakazi wa Geti jeusi, ila baada ya kufanya utafiti na mazungumzo kadha wa kadha na vijana wanaofanya kazi hapo, napenda kuleta Habari njema asilimia 80-90% ya hawa vijana wetu kwa sasa hawaiungi mkono Serikali iliyopo, na badala yake wakiwa wajidaliana kwa uwazi kabisa kuwa Watanzania wa sasa sio wa jana.

Wanasema teknolojia imekuwa sana huwezi kuzuia flow of information na kwa kiasi na kasi uoga wa Watanzania umepungua sana, Hawa vijana wamekuwa wakitoa ushauri na nasaa kadha wa kadha juu ya athari zilizopo mbele kwa Taifa kama mtindo wa uongozi haitabadilika.

Endapo Watanzania watafanya maandamano makubwa atleast watu 1000 basi uungwaji mkono wa CCM ndani ya vyombo vya dola utaanguka vibaya mno (Catarophic collapse).

Huu ujumbe ni wa uhakika mkubwa sana, nitoe Rai kwa watu wote mnaojihusisha na uchawa, tukio hili liko karibu ila pengine linaweza likawa la ghafla kwa Chawa, ifike hatua Watanzania tujadili faida za Taifa na sio nani awe Rais.

Ndugu wa Tanzania wenzangu, chonde chonde usimtukane mtu, kuonea mtu au kumdhuru mtu kisa tu hakubaliani na huu utawala.

Hivi karibuni mtashuhudia watanzania wanasimamisha shughuli zao za kila siku na kudai mabadiliko kwa lazima na nguvu.
Mnafikiria CCM haipendwi jidanganyeni mnaoshupaza shingo wengi wenu ni vijana wa mitandaoni na mnaoishi mijini na siyo wote wengine tunaipenda bado huko mikoani ngoja tuwapige za uso sijui sasa mtahama nchi maana si hamumpendi Samia na yeye ndiye Rais
 
Endapo Watanzania watafanya maandamano makubwa atleast watu 1000 basi uungwaji mkono wa CCM ndani ya vyombo vya dola utaanguka vibaya mno (Catarophic collapse).
Hao viongozi uchwara wanalifahamu hilo.
Ndio maana wamemtupa nyuma ya nondo Simba TAL.. mtu pekee mwenye utashi na udhubbutu wa kuhamasisha watu kudai haki yao kupitia maandamano halali.
 
Declaration of Interest.
Mimi siyo mfanyakazi wa Geti jeusi, ila baada ya kufanya utafiti na mazungumzo kadha wa kadha na vijana wanaofanya kazi hapo, napenda kuleta Habari njema asilimia 80-90% ya hawa vijana wetu kwa sasa hawaiungi mkono Serikali iliyopo, na badala yake wakiwa wajidaliana kwa uwazi kabisa kuwa Watanzania wa sasa sio wa jana.

Wanasema teknolojia imekuwa sana huwezi kuzuia flow of information na kwa kiasi na kasi uoga wa Watanzania umepungua sana, Hawa vijana wamekuwa wakitoa ushauri na nasaa kadha wa kadha juu ya athari zilizopo mbele kwa Taifa kama mtindo wa uongozi haitabadilika.

Endapo Watanzania watafanya maandamano makubwa atleast watu 1000 basi uungwaji mkono wa CCM ndani ya vyombo vya dola utaanguka vibaya mno (Catarophic collapse).

Huu ujumbe ni wa uhakika mkubwa sana, nitoe Rai kwa watu wote mnaojihusisha na uchawa, tukio hili liko karibu ila pengine linaweza likawa la ghafla kwa Chawa, ifike hatua Watanzania tujadili faida za Taifa na sio nani awe Rais.

Ndugu wa Tanzania wenzangu, chonde chonde usimtukane mtu, kuonea mtu au kumdhuru mtu kisa tu hakubaliani na huu utawala.

Hivi karibuni mtashuhudia watanzania wanasimamisha shughuli zao za kila siku na kudai mabadiliko kwa lazima na nguvu.
Sijui kama watakuelewa kina Lukas Mwashambwa na nduguye tlaahtlaah!
 
Huwa mnahangaika sana!!

CCM Wala samia sio tatizo!tatizo ni hao wanaojiita TISS na majasusi wameacha kufikiri mstakabali wa taifa badala take wanacheza Ngoma za maslahi na viongozi!

Inawezekanaje kiongozi anavunja Sheria nankatiba anaendelea kukalia kiti na wao hawana Cha kumfanya!!?

Yaani wait kama taasisi nyeti kwenye taifa hili wamelisaidiaje taifa kujiendesha kiusalama bilankutegemea aina ya kiongozi atakaeshika madaraka!!?
 
This is the best comment of all in this thread.
 
CCM bado sana kuondoka madarakani mpak ikifika ile hatua ya kila atakaekua ni mwana ccm dawa yake ni kutengwa tu na jamii watu hawatashiriki jambo lolote linalomhusu iwe ni harus ama msiba anachiwa mwenyewe ashirikiane na wana ccm wenzake.

Hapo ndo tunasema siku za ccm kusalia madarakani zinahesabika.
 
Declaration of Interest.
Mimi siyo mfanyakazi wa Geti jeusi, ila baada ya kufanya utafiti na mazungumzo kadha wa kadha na vijana wanaofanya kazi hapo, napenda kuleta Habari njema asilimia 80-90% ya hawa vijana wetu kwa sasa hawaiungi mkono Serikali iliyopo, na badala yake wakiwa wajidaliana kwa uwazi kabisa kuwa Watanzania wa sasa sio wa jana.

Wanasema teknolojia imekuwa sana huwezi kuzuia flow of information na kwa kiasi na kasi uoga wa Watanzania umepungua sana, Hawa vijana wamekuwa wakitoa ushauri na nasaa kadha wa kadha juu ya athari zilizopo mbele kwa Taifa kama mtindo wa uongozi haitabadilika.

Endapo Watanzania watafanya maandamano makubwa atleast watu 1000 basi uungwaji mkono wa CCM ndani ya vyombo vya dola utaanguka vibaya mno (Catarophic collapse).

Huu ujumbe ni wa uhakika mkubwa sana, nitoe Rai kwa watu wote mnaojihusisha na uchawa, tukio hili liko karibu ila pengine linaweza likawa la ghafla kwa Chawa, ifike hatua Watanzania tujadili faida za Taifa na sio nani awe Rais.

Ndugu wa Tanzania wenzangu, chonde chonde usimtukane mtu, kuonea mtu au kumdhuru mtu kisa tu hakubaliani na huu utawala.

Hivi karibuni mtashuhudia watanzania wanasimamisha shughuli zao za kila siku na kudai mabadiliko kwa lazima na nguvu.
Na itokee tu hata kesho, nimeichoka na siipendi ccm imejaa watu wenye kiburi, warafi na wabinafsi wa kiwango cha juu.
Imani imekwisha, imani hakuna tena, watu wa ccm wameota mapembe, hata upendo na nchi yao hawana tena. Wanachowaza wao ni kupiga deal ili wawe matajiri na hawajali tena maslahi ya taifa.
Ndugu zangu watanzania tuikae ccm na watu wake kwa nguvu zote, vinginevyo tutakuja kujikuta ni wageni katika nchi yetu wenyewe
 
Huwa mnahangaika sana!!

CCM Wala samia sio tatizo!tatizo ni hao wanaojiita TISS na majasusi wameacha kufikiri mstakabali wa taifa badala take wanacheza Ngoma za maslahi na viongozi!

Inawezekanaje kiongozi anavunja Sheria nankatiba anaendelea kukalia kiti na wao hawana Cha kumfanya!!?

Yaani wait kama taasisi nyeti kwenye taifa hili wamelisaidiaje taifa kujiendesha kiusalama bilankutegemea aina ya kiongozi atakaeshika madaraka!!?
CCM ndiyo waanzilishi wa dhambi yote hii, ubinafsi wa watu wa ccm ndiyo umepelekea tuwe na idara ya usalama wa taifa isiyo na maamuzi yenye maslahi kwa taifa, ni kwasababu ya kazi wanapeana kwa kujuana.
Watawale wa ccm ndiyo wameidhoofisha hii idara nyeti kabisa kwasababu maofisa wengi wa idara hii wamepata kazi kupitia migongo ya viongozi wa ccm.
Tuendako ni kubaya sana kama tutaendelea kuwaangalia tu bila kudai mageuzi
 
Maneno yataenda,vitakuja vitendo, Botswana ilikuwa hivi hivi!
Kuna muda mambo hubadilika ghafla hasa mitizamo na Matendo ya Viongozi ona hii nukuu:One commented,I did not ever think I would witness this change in my life.The BDP had stayed too long in power,and I am proud to be part of the people that removed them for a better Botswana!.

Source: Journal of Democracy _Botswana.
Haya mambo ni Historia na Historia Ina Asili ya kujirudia,Hata Tembo hukumbuka njia walizopita mababu zao .
 
Back
Top Bottom