Mwana parokia
JF-Expert Member
- Sep 27, 2023
- 1,086
- 1,836
Sina cha kupoteza kwasasa nataka nijotoe mhanga nitakuwa mstariNiko tayari kwa maandamano ya heri au ya shari. Samia Idd Amin Mama must go✊

Jiko gani?😂Mimi ni mjumbe tu... Ila nimesema nini ambacho watu wa jikoni wanazungumza...
muda huo bado mkuu, na kama mnahisio SSH anatupeleka karibu na hiyo point, basi ni kuhakikisha tunaenda nae mpaka 2030, muda huu (2025) mazingira bado hayajawivaKinacho hitajika na kinachohofiwa ni trigger point
Wee nae hueleweki upepo unavumia wapiNi kweli kabisa, Octoba tutatiki kwenye kijambio chako
Nasubiri jambo la kuanguka kwa CCM kwa hamu kubwa saaana sijui ni lini litatokea?!Declaration of Interest.
Mimi siyo mfanyakazi wa Geti jeusi, ila baada ya kufanya utafiti na mazungumzo kadha wa kadha na vijana wanaofanya kazi hapo, napenda kuleta Habari njema asilimia 80-90% ya hawa vijana wetu kwa sasa hawaiungi mkono Serikali iliyopo, na badala yake wakiwa wajidaliana kwa uwazi kabisa kuwa Watanzania wa sasa sio wa jana.
Wanasema teknolojia imekuwa sana huwezi kuzuia flow of information na kwa kiasi na kasi uoga wa Watanzania umepungua sana, Hawa vijana wamekuwa wakitoa ushauri na nasaa kadha wa kadha juu ya athari zilizopo mbele kwa Taifa kama mtindo wa uongozi haitabadilika.
Endapo Watanzania watafanya maandamano makubwa atleast watu 1000 basi uungwaji mkono wa CCM ndani ya vyombo vya dola utaanguka vibaya mno (Catarophic collapse).
Huu ujumbe ni wa uhakika mkubwa sana, nitoe Rai kwa watu wote mnaojihusisha na uchawa, tukio hili liko karibu ila pengine linaweza likawa la ghafla kwa Chawa, ifike hatua Watanzania tujadili faida za Taifa na sio nani awe Rais.
Ndugu wa Tanzania wenzangu, chonde chonde usimtukane mtu, kuonea mtu au kumdhuru mtu kisa tu hakubaliani na huu utawala.
Hivi karibuni mtashuhudia watanzania wanasimamisha shughuli zao za kila siku na kudai mabadiliko kwa lazima na nguvu.
Upepo unavuma kutoka baharini kwenda nchi kavu wakati wa mchana na unavuma kutoka nchi kavu kwenda baharini wakati wa usiku 😎Wee nae hueleweki upepo unavumia wapi
This is what make situation worse.Tanzania hii bado mtu ana 20 yrs anakula kwao,kwa jirani na kwa mjomba utamuambia aandamane.
Unatuchanganya Wana ujueUpepo unavuma kutoka baharini kwenda nchi kavu wakati wa mchana na unavuma kutoka nchi kavu kwenda baharini wakati wa usiku 😎
Ni wewe au jamaa wamedukua account.Ni kweli kabisa, Octoba tutatiki kwenye kijambio chako
Unatuchanganya Wana ujue
Wabongo mna matatizo ya akili, mkimuona mtu anapinga uchaguzi mnamuona huyo na chadema mwenzenu, mkimuona mtu anampinga Lissu mnamuona huyo adui/ccm.Ni wewe au jamaa wamedukua account.
NdyoWW MUNGU UNAFAHAMU OKTOBA WAGOMBEA WATAKUWEP?
Wajomba wanataka hata madini yaliyoko msituni na kwenye mbuga.Bandari tayari mwendokasi tayari,wamasai tayari.Kesho na sisi na JF tunakabidhiwa kwa wajomba na tutafundishwa Kioman na Kidubai walah tena.Hivi ni akili ya aina gani unaona kabisa wananchi hawakutaki wewe unashupaza shingo?shauri yako/yake
Labda sio hii CCM tunayoijua.Declaration of Interest.