Kuna uwezekano Safina ya Nuhu ilitua juu ya Mlima Kilimanjaro

kuna mengi ya kujifunza kama tunania ya kuukubali uafrika na kuamini katika uafrika,na sio kuukubari uafrika na kuamini katika uzungu,kama vile tunavyo ambiwa fuvu la binadam wakale aligundu amzungu wakati aliliokota katika aridhi yetu
 
@sajumo USIWE NA AKILI ZA MTOTO HII HOJA JIBU KIAKILI UONESHE UWEZO WAKO WA KUFIKIRIA NA UWEZO WAKO WA KUSOMA VITABU MBALIMBALI............
 
Kama fuvu la mtu wa kale lipo Tanzania,unadhani ni la nani kama sio la kizazi cha Adam,fuvu la dinosours limepatikana Tanzania bado tu hatuamini kisa dini zote zilianzia mashariki ya kati!!!!huyo binadamu wa kale alivukia wapi kuja Ngorongoro na hapakuwa na meli wala magari kipindi hicho????WAAFRIKA tujitambue(wabongo zaidi) vinginevyo tutakuwa kizazi cha watumwa mpaka dunia itakapofika mwisho
800px-Yerevan_Armenia_with_the_backdrop_of_Mount_Ararat.JPG
.
Mount ararat in Turkey.
 
kuna mengi ya kujifunza kama tunania ya kuukubali uafrika na kuamini katika uafrika,na sio kuukubari uafrika na kuamini katika uzungu,kama vile tunavyo ambiwa fuvu la binadam wakale aligundu amzungu wakati aliliokota katika aridhi yetu

unaelewa maana ya kugundua mkuu?!
 
huu mjadala hauna maana, la msingi ni kujiuliza kwanza kama story ya nuhu inawezekana kisayansi na kijiografia!!
 
Nafikiri ni mawazo ya kufikirika tu, historia ya safina na Nuhu tunazipata katika vitabu vya dini, kwa upande wa biblia kitabu cha mwanzo sura 8 mstari wa 4 ina sema "mnamo siku ya kumi na saba ya mwezi wa saba safina ikatua juu ya mlima ARARATI."

Mlima huo upo huko palestina au israel na si huku kwetu.

unajua vipengele vya biblia tu uko off mark kabisa, huo mlima uko uturuki sio israel au palestina!!!
 
lbda sijui we ndo unajua naomba unijuze

Gundua: ng'amua, jua, fichua, tambua kwa mara ya kwanza.
Fuvu linaweza kuwa shambani kwako unalipiga mateke ukijua ni la sokwe au mnyama mwingine, mtu akija kulichukua na kujiuliza maswali juu yalo, akaliweka kwenye utafiti wa kimaabara na kupata habari zake na kuipasha jamii anakuwa amefanya ugunduzi.... MFANO: "Oh! Muda wote ule sisi tulilichezea hatukung'amua...".
 
Kama fuvu la mtu wa kale lipo Tanzania,unadhani ni la nani kama sio la kizazi cha Adam,fuvu la dinosours limepatikana Tanzania bado tu hatuamini kisa dini zote zilianzia mashariki ya kati!!!!huyo binadamu wa kale alivukia wapi kuja Ngorongoro na hapakuwa na meli wala magari kipindi hicho????WAAFRIKA tujitambue(wabongo zaidi) vinginevyo tutakuwa kizazi cha watumwa mpaka dunia itakapofika mwisho

Fuvu kuwa la zamani kuliko yote tuyajuwayo haina maana kuwa ndiyo la "adamu", ni la kale kati tu ya yale tuyajuwayo na tuyajuwayo ni tone tu kati ya yale tusiyoyajua.
 
hakuna nchi yenye watu wa rangi nyingi kama tanzania, weupe pee, weusi tii, maji ya kunde etc, inawezezekana hii ni ushahidi tosha ya watu waliotoka katika safina na kuanza maisha mapya wengine walienda zanzibar wengine wakabaki bara. ikaitwa tanzania....
 
Duh.. kirahisi hivyo..????
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom