mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,701
- Thread starter
- #21
Barrow kashinda na dunia ikajua katikati ya Tume yawezekana mbovu kabisa maana Gambia ilikuwa chini ya mfalme wa milele. Hiki ni kiunzi kinachovukika kama wakiamua kuwekeza kwa wananchi kwa nguvu zaidi.Aaaaaa kamanda,tume huru si wajumbe wetu walikimbia kwenye bunge la katiba? Muulize lowasa,kingunge na Mahanga kama walikuwa wanataka tume huru,amka babu