zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 19,006
- 28,629
We jamaa nmekudharau sana kuanzia leo ur such an empty brain sasa mbowe akiwa ccm na dk slaa akiwa ccm waliunga mkono katiba mpya iliodaiwa na NCCR mageuzi??? Maalim seif je akiwa ccm hadi kuwa waziri kiongozi alitaka serikali 3??Yeah hawakuitaka,walikimbia bunge kisa serikali tatu.huyo Lowasa ambaye we unamuabudu na ambaye mimi natamani leo kesho aondoke chadema,ndie alikuwa ni moja ya wapinga tume huru,kingunge,lembeli,bulaya,hao wote ni ukawa mkuu,acha mahaba ya kitoto
Mkuu i believe umeenda shule by that time hao hawakuwa ukawa wala upinzani sasa ukitegemea lowasa aunge mkono serikali 3 wakati chama hake kilitaka serikali 2???
Hta kibaki alipinga mabadiliko ya katiba waliotaka kina odinga miaka ya 90 enzi hizo kibaki ni makam wa rais wa moi hadi akawaweka ndani wapinzani ila alipojiunga na upinzani akaungana na odinga kudai katiba mpya ambayo ilipatikana na ikiwa na tume huru sasa wewe hujifnzi kwa kibaki umekalia fikra mgando???
Mtu akibadili ideology basi ashabadili harudi nyuma mjudge lowasa akiwa ukawa je alidai serikali 2 tena?? Huyo lowasa siku ya mahafali ya chaso pale Karimjee si alisema tume huru muhim bila hyo 2020 kuingia ikulu ni ndoto sasa tume gani huru ambayo lowasa aliipinga???