mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,722
Kuna haja ya vyama vyetu vya upinzani kuanzisha kitengo cha utafiti chenye weredi wa Hali ya juu ili wajue wanatoka wapi na wanakwenda wapi na kwa nguvu na rasilimali gani kuliko kukaa na kubeza taasisi za kitafiti. Matokeo kama haya yataendelea kuwepo hadi dunia iishe kama wakiendelea kuwekeza kwenye kelele badala ya utafiti wa Nani atawapigia kura na kwa nini.
Wakishindwa tumeibiwa, wakigundua hakuna sababu ya kusingizia utasikia wananchi hawajitambui au acha waendelee kuibiwa na CCM, kama Kuna uchaguzi wa kutumia kama pilot project maana walitumia msuli mkubwa tokeo likawa sisimizi ni Ule uchaguzi wa marudio iringa na mtoto wa mgimwa akashinda.
Kuna uwezekano mkubwa imani ya wananchi inakua na kuyeyushwa ghafla na mienendo isiyoaminika ya wapinzani wetu Bila wapinzani wenyewe Kutumbua hilo. Tuache visingizio