Uchaguzi 2020 Kuna uwezekano mkubwa bunge la 2020 wapinzani watakuwa CUF pekee ile ya maalimu Seif!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,968
141,975
Kwa namna upepo wa siasa za Tanzania bara unavyokwenda ni wazi vyama vya upinzani vina nafasi finyu ya kushinda mwaka 2020. Hii inatokana na ukweli kwamba vyama hivyo vimekosa ajenda na hoja.

Ile hoja iliyokuwa inawabeba katika umri wake wote wa zaidi ya miaka 25 yaani mapambano dhidi ya ufisadi sasa imebebwa kikamilifu na CCM na kuwaacha wapinzani kubakia kama walalamikaji tu.

Hadi sasa hakuna jimbo lolote huku bara ambalo upinzani una uhakika wa kushinda na chama kikuu cha upinzani kwa sasa Chadema ndio kimevurugwa kabisa.

CUF bado wana ngome yao Pemba ambayo haitashindwa kutoa angalao wabunge watano na hivyo kulibakiza bunge letu katika hali ya mfumo wa vyama vingi.

Niishie hapo!
 
Manunuzi ni kwa viongozi kwani wapiga kura nasi tunanunuliwa?

Watanzania hatuwezi kuwa wajinga kwa fikra hizo maana sisi ndio tuliowachagua na tunakuagiza waambie waliokutuma TUTAWACHAGUA TENA NA TENA 2020 NANYI MJITAHIDI KUIBA HADI YA MGOMBEA MWENYEWE MAANA NDIO ZENU ila ukae ukijua malipo ni hapa hapa na MUNGU ANAWAONA
 
Huko Tz kuna tume huru ya uchaguzi?Nani asiyejua kuwa Sasa mkurugenzi kumtangaza mpinzani ni kosa la Karne?Nani asiyejua kuwa risasi zinatumika kuua upinzani?
Very shithole Tanzania
 
Manunuzi ni kwa viongozi kwani wapiga kura nasi tunanunuliwa?

Watanzania hatuwezi kuwa wajinga kwa fikra hizo maana sisi ndio tuliowachagua na tunakuagiza waambie waliokutuma TUTAWACHAGUA TENA NA TENA 2020 NANYI MJITAHIDI KUIBA HADI YA MGOMBEA MWENYEWE MAANA NDIO ZENU ila ukae ukijua malipo ni hapa hapa na MUNGU ANAWAONA
Sanduku la kura ndio msema kweli hizo nyingine ni porojo tu!
 
Back
Top Bottom