Kuna utofauti mkubwa kati ya Facebook na jamii forum

Habari wana jamii forum.? Mimi sina mwezi kujiunga jamii forum ila kwenye Facebook nina miaka mitano kutumia mtandao wa FB ila kuna utofauti mkubwa jamii forum hipo juu kuliko FB ukiwa na tatizo lako lete jamii forum na nilichogundua watumiaje wengi wa FB ni mataira,wendawazimu.unajua huwezi kuniamini ila nenda kapost Picha yoyote tena ukiandika andika x uone maajabu ya picha hii dk kumi haifiki mataira tiyari wameandika.jamii forum kuna wasomi na waelewa lkn kule hatari
Kwahyo we ulkuwa mmoja was mataira was fb ila umewaacha wenzio duu uchoyo huo
 
Back
Top Bottom