Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,483
- 167,064
Unasugua papuchi ya mtoto wa watu kwa miaka yote huku hujafanya jitihada yoyote ya kumuoa, Sasa umemchoka uunamuanzishia zengwe ili umwache, aiseee unachokipanda utakivuna kwa machozi mazitoMoja kwa moja kwenye mada wanajamvi, nina mke japo hatujafunga ndoa na tuna miaka kama sita tukiwa pamoja japo nikiri muda mwingi tunaishi mbali mbali kwa sababu mbali mbali
Siku moja nikaona screenshot ya conversion aliyokuwa anachat na mtu(mwanaume), jamaa anamuuliza vitu gani vya kupunguza? Bi dada anajibu"mfano tunawasiliana sana akiwepo do you think itakuwa sahihi ebu niambie na wewe"
"For me ukiwa na mama flan sitotaka simu za usiku sintotaka aumie au sitotaka niwagombanishe" jamaa akajibu sawa..
Mimi ikabidi nimuulize baba flan unamjua akabisha katakata, nikamtumia screenshot akasema atanielezea hiyo conversion nikamwambia sihitaji maana kasema hamjui!
Ndugu zangu huyu mwanamke sijawahi kumdoubt kwa lolote ila hilo nimeshtuka kidogo... ushauri wenu wadau nimsikilize au niconclude kuwa hapa hamna usalama?
Sijawahi kuwaza kumuacha hata siku moja kabla ya haya mkuu, mkielewana ndoa ni suala la muda tuuUnasugua papuchi ya mtoto wa watu kwa miaka yote huku hujafanya jitihada yoyote ya kumuoa, Sasa umemchoka uunamuanzishia zengwe ili umwache, aiseee unachokipanda utakivuna kwa machozi mazito
Wee fanya unachoona ni sahihi kwako, lakini mara nyingi makosa tunayoyafanya husababisha wenzetu waonekane ni wakosaji zaidi yetu.Sijawahi kuwaza kumuacha ata siku moja kabla ya haya mkuu, mkielewana ndoa ni suala la muda tuu
Sumu Haijaribiwi Kwa KuionjaHallo , Mimi hapo ningeleta Uzi kuwa nimemwacha kitambo.
Mwanamke haruhusiwi kusex nje ya ndoa kwa namna yoyote mpaka wewe ufe
Just a begging bitch each all he's going to listen about.Mkuu no doubts huyo mtu wako analiwa na huyo mwamba. Ila wewe msikilize tu uone atatoa majibu gani. Usiache kumsikiliza.
Fimbo ya mbali haiui nyokaUshasema mara nyingi mnakuwa mbali na unajua mapenz ya mbali ni uongo maana hata wewe lazima unacheat huko so kama umeamua kuwa na ndoa ya kuishi mbali mbali usilalamike kusaidiwa ye nae binadam ana nyege
Kama unataka awe mwaminifu ishi nae
Maamuzi unayo wewe maana umeshajua unapigiwa,Moja kwa moja kwenye mada wanajamvi, nina mke japo hatujafunga ndoa na tuna miaka kama sita tukiwa pamoja japo nikiri muda mwingi tunaishi mbali mbali kwa sababu mbali mbali
Siku moja nikaona screenshot ya conversion aliyokuwa anachat na mtu(mwanaume), jamaa anamuuliza vitu gani vya kupunguza? Bi dada anajibu"mfano tunawasiliana sana akiwepo do you think itakuwa sahihi ebu niambie na wewe"
"For me ukiwa na mama flan sitotaka simu za usiku sintotaka aumie au sitotaka niwagombanishe" jamaa akajibu sawa..
Mimi ikabidi nimuulize baba flan unamjua akabisha katakata, nikamtumia screenshot akasema atanielezea hiyo conversion nikamwambia sihitaji maana kasema hamjui!
Ndugu zangu huyu mwanamke sijawahi kumdoubt kwa lolote ila hilo nimeshtuka kidogo... ushauri wenu wadau nimsikilize au niconclude kuwa hapa hamna usalama?
mkuu Ukiona manyoyaa ujue kashaliwa tayari na baba nanii...
Kama unaoa oa tu, ila usikae ufikirie kuwa huta gongewa, cjawah kuona mke wa mtu mgumMoja kwa moja kwenye mada wanajamvi, nina mke japo hatujafunga ndoa na tuna miaka kama sita tukiwa pamoja japo nikiri muda mwingi tunaishi mbali mbali kwa sababu mbali mbali