Kuna umuhimu wa Sophia Simba?

Kuna umuhimu wa Sophia Simba?

Itibari

Member
Joined
Feb 18, 2012
Posts
5
Reaction score
5
Kama kuna vitu JK ameshindwa kujigundua ni uteuzi wa mshika bendera wake SOPHIA. Hebu nisaidieni kama kuna hata chembe ya zuri alilowahi kulifanya katika maisha yake. manake kila siku yeye huhamasisha uchafu tu wa wanawake wafanye vurugu dhidi ya waume zao. na je, ameolewa? huyo mumewe atakuwaje. au na yeye ni sugar mummy tu? au kalewa na viti maalumu.
 
hana mume ana mtoto mmoja wa kiume alimzaa na jamaa mmoja mpigania uhuru wa ANC kutoka South Africa kipindi wako na kambi Moro
 
sofia simba, mery nagu, mwantumu mahiza, zakia megji, hawa gasia, hawa lazima wamefikia hapo kwa fadhila za wanaume maana wanaaibisha wanawake! mwanamke akiwezeshwa anaweza sasa hawa wamewezeshwa wamechina!
 
Usiwe na hasira humu JF utapata yote uwe mpole waulize wazee na wazoefu Mods wanaweza kukuwekea hiyo thread ya Mkiti wa UWT CCM
ni ngoma ndogo ya aliyewahi kuwa Msahiki Meya wa JIJI, na mama huyu ndiye aliyemuunganishia kwa mzee kwenda kwa mkuu wa awamu ya 2, wakati jamaa akitokea Nachingwea, ambako nako alienda baada ya machafuko ya sayore CTU Monduli
Naye awamu ya 2 alitokea Mwanza kuuachia uwaziri akakaribishwa Dar na Mstahiki

Nakushauri peruzi JF ni kisima cha maarifa utaikuta hiyo thread
 
Kama unamtamani mama wa watu tukupe namba yake. Thread yako imejaa mapenzi ni kama unaona wengine wanafaidi. Mpigie kwa namba 075475902 anapokea simu ya kila wananchi wenye shida atakusikiliza shida yako
 
sofia simba, mery nagu, mwantumu mahiza, zakia megji, hawa gasia, hawa lazima wamefikia hapo kwa fadhila za wanaume maana wanaaibisha wanawake! mwanamke akiwezeshwa anaweza sasa hawa wamewezeshwa wamechina!

umetaja wa chama kimoja tu je wale wa chama cha maandamano unawahifadhi kwa faida ya nani? Hadi rangi ya kuvuli zao tunaweza kukutajia anayovaa Jumatatu hadi Jumapili
 
hana mume ana mtoto mmoja wa kiume alimzaa na jamaa mmoja mpigania uhuru wa ANC kutoka South Africa kipindi wako na kambi Moro

kama vile ulikuwepo chumbani jinsi ulivyosimuliwa mwaga picha tuone
 
kama vile ulikuwepo chumbani jinsi ulivyosimuliwa mwaga picha tuone

sory kama kuna ndugu zake: honestly mimi yule mama kila nikimsikia huwa nawakumbuka wale dada zetu wa chupi mkononi. Yaani nashindwa kumtofautisha na watu wa aina ile. Nshawahi kumsikia akipiga kelele za kuchonganisha ndoa za watu ili wawe wengi. Anatamani kuwa kama maathari ila amesahau kwamba yuko kwenye genge la wakandamizaji wa haki za wanyonge. Mwenzake alikuwa anapigania wanawake wajikomboe ndo maana mpaka leo kenya wanafunzi wa kike wanafundishwa namna ya kutambua haki na wajibu wao from primary schools. Sasa yeye anahubiri wanawake wajikomboe wakiwa wako kwenye ndoa,haki zao hawajui,wajibu wao hawajui ndo maana wanaishia kwenye kuvunja ndoa za watu sababu ya mambo ya TUPO SAWA wakati kila kitu nyumbani naleta mimi. Wanawake mkitaka kujikomboa anzeni kujenga kuanzia chini siyo mnaanzia juu!
 
Yapo kibao mama yetu Simba aliyoyafanya. Landa useme umetumwa na Kilango na kwamba hizi ni sehemu ya kampeni ya kugombea ulaji ndani ya UWT.
 
Yapo kibao mama yetu Simba aliyoyafanya. Landa useme umetumwa na Kilango na kwamba hizi ni sehemu ya kampeni ya kugombea ulaji ndani ya UWT.

samahani mkuu sina ushiriki na hiyo kampuni inayojihusisha na kuwanyonya mama zetu vijijini na kujinufaisha wao wenyewe. Kwanza mama kilango nilishamchukia siku nyingi tangu alipoanza kujikomba kwa serikali huku akiomba huruma ya wananchi. Aafu ni watu waliolazimisha mahakimu wilayani wawe chini ya wakuu wa wilaya ili kugeuza mahakama zetu kuwa za kisiasa badala ya utendaji zaidi. Nimeongea kile ambacho nnalifeel. Huyu hana utofauti na mke wa jk aliyefika mbozi anataka wanawake wamheshimu huku hawana uhakika wa maji ya kupikia chakula. Walipomuonesha vidole viwili akatembea analalama njia nzima,alitegemea wamuimbie nyimbo na wao wananyanyaswa na serikali ya mumewe? Sofia simba naye anapiga kelele tu za kuongeza ugomvi wa ndoa za watu huku wameshindwa kuweka misingi ya wanawake kujitambua tanguwakiwa wadogo,unategemea nini? Wao waliosoma inatakiwa waweke strategy za namna ya kumkomboa mwanamke kifikra ili ajitambue. Ilitakiwa kwenye shule kuwe na girls talk ambayo ingekuwa inawafundisha wajibu wao,haki zao na namna za kufanikiwa na siyo kuwaacha wanawake wanakua wakijua mwanaume ndo mtawala aafu unadai haki sawa uzeeni! Pumbaf kweli! I hate uwt na kampuni zote zinazotetea wanawake wakiwa wazee.
 
Thread yako imejaa mapenzi ni kama unaona wengine wanafaidi
song3.jpg
song2.jpg

song4.jpg
 
Dawa yao iko JIKONI inachemka KATIBA MPYA hatutaki huu u.j.i.n.g.a wa viti maalum. Wanajaza tu ukumbi wa bunge.
 
mhe mama sophia simba ni mtetezi no.1 kwa wanawake na amekuwa akifanya hvyo tokea akiwa wizara ya utawala bora,kwanza ni msomi aliyepata stashahada ya sheria ni ni mwanamke anayereta ukomboz kwa wanawake..km kuna mengne jamani semeni mhe sophia simba kuzaliwa mjini isiwe shida jamani..
 
Mi nivyojua huyu mama alikuwa personal secretary pale NDC miaka hiyo. kwa mfumo wa elimu enzi hizo ni ngumu sana yeye kuja kupata shahada ya sheria lkn watu walikuja kushtuka keshapata so hata kupata LLM sishangai. Ila mzee sita alikuwa company secretary wa ndc labda atueleze hiyo transformation ilikuwaje coz
nasikia yumo humu. Hakika kutakuwa na ziada anaaminiwa hivyo to the extent ya kuongoza usalama wa taifa? !!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom