Kuna Ulazima wa kujua ID?

Kuna Ulazima wa kujua ID?

Head current

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2013
Posts
479
Reaction score
128
wakuu nisaidieni kitu kimoja,

Unapokuwa member wa hapa Jamvini na una ID yako ambayo unaitumia siku zote, hivi ni lazima mtu wako (Mpenzi, Mwenza or rafiki) ajue ID yako hiyo?

Kama mnakubaliana nalo ama kukataliana nalo naomba mtoe sababu zake mnijuze nipate kuelewa.

Asanteni.
 
Katika mfumo gani? What is your cosmogony?

Nauliza kwa sababu mifumo tofauti inaweza kujibu swali lako kwa majibu tofauti.
 
Do what you think will work with you two na sio jinsi wengine wanavyoishi au kudhani!
 
Anyway let's start somewhere.
Kwanini umekuja na hilo swali?
Wasiwasi wako ni nini?
Wewe unafikiri kuna tatizo?
Na kama lipo ni lipi?

Una account Facebook?
Unatumia majina yako sahihi?
Anaifahamu?
Unahisi kwa kutumia real ID yako FB unapungukiwa na uhuru?
Ni uhuru gani unaouhitaji hadi kutumia fake ID humu JF?
Na una wasiwasi utapungua?
Hufikirii naye ni member wa JF?
Suppose ndiye The Boss utajisikiaje?

Ukijibu hayo maswali utakuwa umejua nini cha kufanya?
 
Last edited by a moderator:
It depends, na wewe ulivo na uchangiaji wako! kama unahisi hatafurahia mawazo yako jamvini basi mueleze ukweli tu.

Inagwa na vizuri kwa mwenza wako kujua mawazo na behaviour zako, lakini sometimes haiswihi kufanya hivo.
 
Ulazima upo kama huflirt au kufanya any suspicious deeds humu! Kama mimi anaijua kabisa! Because i got nothin to hide!
 
Akijua asijue...whats make difference to him, kama huna motive nyingine and prurely having fun. Sioni tatizo.
 
Anyway let's start somewhere.
Kwanini umekuja na hilo swali?
Wasiwasi wako ni nini?
Wewe unafikiri kuna tatizo?
Na kama lipo ni lipi?

Una account Facebook?
Unatumia majina yako sahihi?
Anaifahamu?
Unahisi kwa kutumia real ID yako FB unapungukiwa na uhuru?
Ni uhuru gani unaouhitaji hadi kutumia fake ID humu JF?
Na una wasiwasi utapungua?
Hufikirii naye ni member wa JF?
Suppose ndiye The Boss utajisikiaje?

Ukijibu hayo maswali utakuwa umejua nini cha kufanya?
ahahahhahah hii kichwa hii!mwee!
nitilie maji kidogo basi nipunguze kukupenda lol!
ntawehuka sasa na haya maakili yako!
 
ahahahhahah hii kichwa hii!mwee!
nitilie maji kidogo basi nipunguze kukupenda lol!
ntawehuka sasa na haya maakili yako!

You have to stop you know, la nitaamsha resessive genes zangu za ulesbo! Lol
Umeamkaje rev. mother?
 
You have to stop you know, la nitaamsha resessive genes zangu za ulesbo! Lol
Umeamkaje rev. mother?
The Boss has to hear this atafurahije sasa na ile threesome yake
mi niko poa mamii!KG wazima?
daslam wazima kabisa
 
Last edited by a moderator:
Asante sana.
Anyway let's start somewhere.
Kwanini umekuja na hilo swali?
Wasiwasi wako ni nini?
Wewe unafikiri kuna tatizo?
Na kama lipo ni lipi?

Una account Facebook?
Unatumia majina yako sahihi?
Anaifahamu?
Unahisi kwa kutumia real ID yako FB unapungukiwa na uhuru?
Ni uhuru gani unaouhitaji hadi kutumia fake ID humu JF?
Na una wasiwasi utapungua?
Hufikirii naye ni member wa JF?
Suppose ndiye The Boss utajisikiaje?

Ukijibu hayo maswali utakuwa umejua nini cha kufanya?
 
Anyway let's start somewhere.
Kwanini umekuja na hilo swali?
Wasiwasi wako ni nini?
Wewe unafikiri kuna tatizo?
Na kama lipo ni lipi?

Una account Facebook?
Unatumia majina yako sahihi?
Anaifahamu?
Unahisi kwa kutumia real ID yako FB unapungukiwa na uhuru?
Ni uhuru gani unaouhitaji hadi kutumia fake ID humu JF?
Na una wasiwasi utapungua?
Hufikirii naye ni member wa JF?
Suppose ndiye The Boss utajisikiaje?

Ukijibu hayo maswali utakuwa umejua nini cha kufanya?

Kaunga. Wewe ni mkali. Nimekukubali sana.
 
Last edited by a moderator:
he siamini kumbe na nihii nae ana mchumba siamini alivyo mtata huyo mr anakazi
 
Back
Top Bottom