Kuna ulazima Gani??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna ulazima Gani???

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by KakaJambazi, Jun 23, 2010.

 1. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #1
  Jun 23, 2010
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,030
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280
  Unakuta binti alikua kicheche, shangingi aliyekubuhu kuwachuna na kuwapagawisha mabuzi.

  Buzi akipagawa na kuamua kutangaza ndoa, huwa nashangaa wamama eti wanamuandalia kicheni pati, ya jinsi gani ya kukata kiuno, jinsi ya kubugia ile kitu nk. Sa kama angekuwa hayawezi hayo mambo, buzi lingewezaje kutangaza ndoa au pengine kutelekeza familia?

  Bora basi mafunzo ya kicheni pati yangekua yanahusu jinsi gani ya kumheshimu mume, kutunza familia, kuachana na tabia ya ukahaba etc. Wao wamebezi kwenye maeneo ya kati tu.
   
 2. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #2
  Jun 23, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,856
  Likes Received: 2,017
  Trophy Points: 280
  Umewahi kuhudhuria kitchen party? Naomba jibu ili niendelee
   
 3. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #3
  Jun 23, 2010
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 722
  Trophy Points: 280
  kaka jambazi!!!!!!!!!!!!
   
 4. bht

  bht JF-Expert Member

  #4
  Jun 23, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  kwani kwenye KP's hawafundishwi kumheshimu mume??
   
 5. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #5
  Jun 23, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,856
  Likes Received: 2,017
  Trophy Points: 280
  Ndio maana nikamuuliza kama amewahi kuhudhuria KP yoyote au anajaribu kujenga hoja ya kufikirika
   
 6. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #6
  Jun 23, 2010
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,030
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280
  Sa kama hapo juu hamjui kusoma na picha mshindwe kutazama.
  Kuna nazi.jpg
   
 7. bht

  bht JF-Expert Member

  #7
  Jun 23, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  kusoma najua na lugha y apicha pia inaielewa

  sasa ni hicho tu hufundishwa?? what makes u think thats the only 'training' tunapataga hapo?? hiyo si picha moja tu kwani ndo ina-cover the whole event??
   
 8. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #8
  Jun 23, 2010
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,030
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280
  kwann hiyo isiwe topic kuu hasa ukizingatia bibi harusi mtarajiwa amekubuhu ktk mambo ya chumbani na pengine hao wanaomfundisha ni chekechea kwake katika masuala ya mapenzi.
   
 9. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #9
  Jun 23, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,577
  Likes Received: 543
  Trophy Points: 280

  hahaha huyo anakabidhiwa vyombo vya jikoni nani kakwambia anafundisha kukata kiuno?
   
 10. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #10
  Jun 23, 2010
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,030
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280
  Mi nafikiri mawazo yenu (bibi harusi mtarajiwa) huwa ni ...."hawa nao wanajiangaisha tu apa, nani hajui huo upuuzi,,,, wananichelewesha tu hapa,,,,fanyeni fasta mnipe hizo zawadi/vyombo mi nikaanzie maisha".

  Kiukweli msingekua mnatoa vyombo, hakuna ambaye angekua anawaita kwenye shughuli hao makungwi.
   
 11. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #11
  Jun 23, 2010
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,030
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280

  Vyombo??? sidhani,,, na hii "staili ya pole samaki je?"
  KAA.jpg
   
 12. bht

  bht JF-Expert Member

  #12
  Jun 23, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  umehudhuria ngapi ukaona mada kuu ni mambo y achumbani tu na si heshima kwa mume??
   
 13. daughter

  daughter JF-Expert Member

  #13
  Jun 23, 2010
  Joined: Jun 22, 2009
  Messages: 1,275
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  utakuwa mhudhuriaji mzuri wa KP'S
   
 14. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #14
  Jun 23, 2010
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,030
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280

  Tatizo hamnisomi fresh, mi nawaongelea wale ambao tayari ni wataalam/vicheche, kwann tena wanafundishwa hayo masuala?
   
 15. daughter

  daughter JF-Expert Member

  #15
  Jun 23, 2010
  Joined: Jun 22, 2009
  Messages: 1,275
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  tayari ni wataalamu?!! wataalamu wa afya wenyewe wanakuwaga na semina sembuse..........
   
 16. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #16
  Jun 23, 2010
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Jamani kwani akiwa kahaba aliyekubuhu ndio ana-make good wife?? Lazima kuna vinavyofundishwa ambavyo havihusiani na meza kuu!!

  Nakumbuka kuna moja niliisikia mtu anafundwa kuwa mume ni mfalme tena wa kumheshimu na hata ukisikia ameachia hewa usicheke wala kuguna we jifanye kama hujasikia kisha taratiiiiibu toka nje ukaliteme "Pwaahaaaa" ukilisindikiza na tusi lolote unalojiskia kulitoa ila usiliseme kwa sauti.... kisha rudi taratibu na tabasamu paaana usoni likisindikizwa na darling, laaziz, sweetie, nyonda and you name it
   
 17. bht

  bht JF-Expert Member

  #17
  Jun 23, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  refresher courses..............!!!
   
 18. bht

  bht JF-Expert Member

  #18
  Jun 23, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  HAHAAA!! Mamii u have made me imagine something very stupid here lol!!!
   
 19. daughter

  daughter JF-Expert Member

  #19
  Jun 23, 2010
  Joined: Jun 22, 2009
  Messages: 1,275
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  exactly! hakuna mtu aliye perfect kwenye jambo lolote lile.no matter how smart u think u are kuna walio smartter na smartest.
   
 20. Da Womanizer

  Da Womanizer JF-Expert Member

  #20
  Jun 24, 2010
  Joined: May 24, 2010
  Messages: 1,561
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Thank you. Angalia hapo nimekugongea kabatani.
   
Loading...