BIGstallion
JF-Expert Member
- Sep 13, 2016
- 6,324
- 7,919
Mchukue. Niungie bando la mwaka tu ndiyo mahari yake

ntaongeza lingine kila mwaka mkuu,nimeokota embe kweny mnazi,..Mchukue. Niungie bando la mwaka tu ndiyo mahari yake

ntaongeza lingine kila mwaka mkuu,nimeokota embe kweny mnazi,..Nani kakudanganyaaa acheni kukariri
HahahhahThat's greating, just hi. Haujambo. Darasani ulinikimbia.
Yaani mimi hadi natokwa na ukungu kichwani. Haya niambie
Zawadi ndiyo hiyo mmeo.Yani babu umerudii badala ya kutoa vizawadi ulivyokuja navyo. Unaanza tena kuniozeshaa tena kwa lazimaa huko sijui umetoka wapi???...... Maana si kwakutekwaa hukooo
.
Yani babu umerudii badala ya kutoa vizawadi ulivyokuja navyo. Unaanza tena kuniozeshaa tena kwa lazimaa huko sijui umetoka wapi???...... Maana si kwakutekwaa hukooo
.
Hewaala kazi kwako.ntaongeza lingine kila mwaka mkuu,nimeokota embe kweny mnazi,..
Jiheshimu. Shangazi Ukimwona mwambie namwitayule mzigua???? Maana km ndiyo yuleee umekwishaaa babu yangu
.....cc:espy
Ili iweje
Ninong'oneze basiTeh teh teh nilichokuwa nakitaka nimekipataaa
Hahahhah
ukungu wa kichwani uko vipi?
Mi nilikumiss hadi nikasema leo sili nisipokuona humu
Alafu darasani kila siku unanighairishia vipindi asee