Kuna ukweli wowote

Kuna ukweli wowote

Binafsi noop!
Unajua kuna tofauti between jogoo kutokuwika na weak erection,mtu anapokuwa amechoka sana hasa akilini anaweza akaweza kugegeda lakini tegemea kuwa atakuwa dhaifu kidogo compared na akiwa yuko vizuri mentally.
Sasa ka huyo wako jogoo hawiki kabisa halafu anakwambia ni kwasababu amechoka sio kweli kabisa kuna jambo lingine either hapati msisimko au hawezi kabisa.
Teh teh teh nilichokuwa nakitaka nimekipataaa
 
Yaani anadiscuss viungo vya kiume kweli? Njoo uniolee hili litoto nimelichoka
Yani babu umerudii badala ya kutoa vizawadi ulivyokuja navyo. Unaanza tena kuniozeshaa tena kwa lazimaa huko sijui umetoka wapi???...... Maana si kwakutekwaa hukooo
.
 
Back
Top Bottom