MAMMAMIA
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 3,811
- 1,603
Mimi kama nisikia, nikiambiwa au kudhani kuwa kitu fulani ni bora kuliko chengine, (in this case for example: wanene/wembamba/ dodo kubwa/ndogo, wa mjini/wa shamba/...) NA KAMA NINATAKA kuhakikisha kwa kulinganisha, basi hujaribu mwenyewe. Ninakushauri baada ya kupata maoni mbali mbali, ufanye hivyo ili kuondoa wasiwasi.