Indume Yene
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 2,968
- 727
Nimesikiliza hii video ambayo imetundikwa kwenye Youtube. Msikilize mzungumzaji wa pili akizungumzia Rais JK kupata kikombe cha Babu. Je ni kweli?
Nawasilisha.
Kwanza siyo kweli kwamba JK amepata kikombe cha babu kama inavyodaiwa na wazushi waliotapakaa kila mahali na ambao wanahisi hawawezi kukitia uhalali kikombe cha babu bila kuwataja wakubwa ambao wengine hawajui hata Samunge iliko.
Inawezekanaje Rais asijue Samunge iko wapi wakati yeye ni mkuu wa nchi. We chizi nini? Tuachie upuuzi wako hapa

Hakika wewe ndiye kinara wa wapuuzi na leo umethibitisha hilo. Umeambiwa Rais anahitaji kujua hata vichochoro ambavyo kabla ya katikati ya February 2011 vilikuwa havijulikani hata na wakuu wa wilaya husika? Nye ndiyo huwa mnadhani Rais ana wajibu wa kujua kila kitu hata kile ambacho hakina significance kwa taifa au majukumu yake. Hovyoooooooooo!

Mkuu, pale OLDONYO LENGAI alipoenda kikwete kufukua nyayo za mtu wa kale akapigwa na picha na magazeti ni karibu mno na kwa babu! yaani ni kama Mwenge na tegeta, mie naona ile kufukua nyayo ilikuwa zuga tu...lengo lilikuwa Samunge! ALIENDA BWANA! na mamsap akafuata baadae wenyeji woote kule wanajua kuwa alienda japo alienda kimachale!

Mi nwasubiria tu! mkianza kudundana nafotoa tu alafu nwabandika hapa. Siku nyingi sijaona ngumi za watu wazima!
Mkuu, pale OLDONYO LENGAI alipoenda kikwete kufukua nyayo za mtu wa kale akapigwa na picha na magazeti ni karibu mno na kwa babu! yaani ni kama Mwenge na tegeta, mie naona ile kufukua nyayo ilikuwa zuga tu...lengo lilikuwa Samunge! ALIENDA BWANA! na mamsap akafuata baadae wenyeji woote kule wanajua kuwa alienda japo alienda kimachale!
Mkuu hapo kwenye red sijui kama kuna ukweli kuwa ndo Mkulu alienda kufaya hiyo kazi. Sahihisha mkuu! mimi nakunong'oneza ni OLDUVAI kwa kiswahili ila kikwetu tunaita OLDUPAI
Kwenye blue hapo una uhakika?Hapo kwenye black u h've to respect u'r self unamaanisha kitu kikifanywa na Obama na Mh_wetu haruki?Kwanza siyo kweli kwamba JK amepata kikombe cha babu kama inavyodaiwa na wazushi waliotapakaa kila mahali na ambao wanahisi hawawezi kukitia uhalali kikombe cha babu bila kuwataja wakubwa ambao wengine hawajui hata Samunge iliko.
Lakini hata tuki-assume kwamba amepata kikombe then what? Watu wanashindwa kuelewa kwamba rais naye ni binadamu mwenye utashi na mapenzi yake. Kama anaamini kwamba kuna uponyaji anahitaji kusubiri aje Obama kupata kikombe ndipo na yeye aamini juu ya ukweli wa uponyaji wake? Tuache kudhani kwamba Rais hana haki kama raia wengine. Mbona akienda msikitini hatusemi lolote? Si kwa sababu hilo siyo jambo la ajabu? Mimi nafikiri criticism anayopewa rais ni utterly uncalled for and unfair. Kule Gambia kuna Rais anayedai kuponya ukimwi kwa dawa za kienyeji lakini hakuna hata aliyepiga makelele yanayopigwa hapa kwetu. Very unfair!