englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
Hivi kwanini mkitongozana mnakuwa mnachat sanaaaa lakini ngoja muunganishe vikojoleo chatting zinapungua hata ladha hakuna tena.
Hivi kwanini mkitongozana mnakuwa mnachat sanaaaa lakini ngoja muunganishe vikojoleo chatting zinapungua hata ladha hakuna tena.
ngoja aje kukufulumisheni na thread yenyu, kuchokana na aswa mkiongozwa na tamaa mkuu... mkipendana ile kifilipino si rahisi kupotezeana kisa eti mshananiiHata mimi natamani kujua. Tumsubiri mkuu Mwanamalundi aje kutujuza.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Hivi kwanini mkitongozana mnakuwa mnachat sanaaaa lakini ngoja muunganishe vikojoleo chatting zinapungua hata ladha hakuna tena.
Huu utoto sasaa
Ukitaka kujua kwamba vikojoleo ndo mwisho wa aibu zoote jaribu kutembea uchi
Acha kujaza server mkuu
Hivi kwanini mkitongozana mnakuwa mnachat sanaaaa lakini ngoja muunganishe vikojoleo chatting zinapungua hata ladha hakuna tena.
ni mtizamo tu.Mwenzio kauliza mambo yake ukamjibu anatumia masaburi kufikiri....
hayo mambo angemuuliza mpenzi wake!!!!
sa mbona we unatuuliza hapa? he he he he nilikuwepo!!!!!!
sio tatizo ndiyo uzuri wake huo ....maana watu wanaweza ingia kwenye ndoa halafu ikawa balaando tatizo la ku-test mambo kabla ya ndoa! anyway, kuhusu swali lako naweza kusema inategemeana na huyo mrembo wako alivyo kiuzuri na kiumbile! kama yuko bomba hutokuwa hivyo. tchao...
:target:
we mwenyewe mbona unajaza server? Au hujioni?
Nyie hampendani mie mpaka kesho nachat nae tena sana na ukiona nipo huku ujue nimesingizia mtandao unasumbua au nipo busy na kazi au nasingizia nalala.Na tumeshavikutanisha mara kibao yaani mpaka vina alama na vinatambuana
Hivi kwanini mkitongozana mnakuwa mnachat sanaaaa lakini ngoja muunganishe vikojoleo chatting zinapungua hata ladha hakuna tena.
Duh ni kweli kabisa mkuu.... Sijui huwa inasababishwa na nn?????
Ngoja wataalamu wa.mahusiano waje!!!