Kuna ukweli wowote hapa

Kuna ukweli wowote hapa

Memorial Services Sky Eclat , vipi umekumbuka chaka la zamani na sasa unatafuta njia ya kulivamia upya. Lakini kwenye jamii za kifugaji wana msemo mmoja kuwa ng'ombe akinywa maji sehemu huwa hawezi kusahau. Hata ikipita miaka kadhaa, then one day ukijaribu kumpleka huko anaenda faster kwa maana bado anaikumbuka njia vizuri. So nijuavyo pia hata haya mambo ya mahusiono wapo wengi sana wamejikuta wakirudiana several times na ex wao, labda huwa wanafanya memorial service, ingawa sio nzuri hata kidogo
 
Memorial service inaweza kukulemaza usimove on
 
Da sijui ila mimi ma ex wangu huwa nawachukulia kama dada zangu, kwanza naogopa sana kumuomba 😛
 
Mkuu mtu umeshavuliana nae atakuwaje dada tena

Naonaga kinyaa mno kumrudia mtu ambae nlimuacha ashabiringika na mwingine namimi nibiringike nae no, Pia nakosa ntamwambia nini maana kama first time haikuwork naamin hakuna kingine chaweza kuwa powa, kwa ujumla hutokea auto sitaman ila tunaweza ongea kiwaida ila bed ni big no, Ni kama Mke wa ntu naogopa kushiriki uchafu yaani mwingine anakula na mimi nile ni big siwez 🙁
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom