Kuna ukweli wowote hapa

Kuna ukweli wowote hapa

Mm naweza kukatisha game katikati aisee, maana akili ikikumbuka kidogo alonifanyia na mchezo unaishia hapo hapo kwa hyo ni bora hata tusikumbushiane tu
 
Zikinipanda sana bora nimvulie ex kuliko stranger lakini baada ya hapo asinitafute tena
 
Mwanaume akirejea this time huwa ni mtu mwema, wakati mwingine watu uachana kwa hasira ila wakikaa na kutafakari ugundua kuwa walikurupuka kuachana, hivyo wapatapo chance upeana bila ihana.
kama mtu anaweza kurudi tumboni kwa mama yake basi ndivo ilivo kwangu kurudiana na ex !
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom