MamaaaaMimi hapa ni Freemason, haturuhusiwi kutoa siri zetu kwenye mitandao ya kijamii, nitafute kwa wakati wako nitakuelekeza jinsi ya kujiunga
Mimi hapa ni Freemason, haturuhusiwi kutoa siri zetu kwenye mitandao ya kijamii, nitafute kwa wakati wako nitakuelekeza jinsi ya kujiunga
MKWEPA KODI Mkuu mimi sitaki kujiunga nao wale jamaa tena naogopa kinoma. NNachotaka ni kujua tu ili nichukue tahadhariMimi hapa ni Freemason, haturuhusiwi kutoa siri zetu kwenye mitandao ya kijamii, nitafute kwa wakati wako nitakuelekeza jinsi ya kujiunga
Nktlogistics Lengo ni kuwasoma na kuwajua freshi coz sisi wenyewe ni wateja wa bidhaa na misaada yao. Mwisho wa siku na sisi tutaungwa bila kujijua"...Just live life, hizo mambo waachie"
Nktlogistics Duuh!! Ndo mana kizazi cha sasa hakieleweki! Watoto wanazaliwa wakiwa washapinda kuanzia tumboni sababu ya hizo productsasilimia 80% ya manufactured product from west countries & europe wana izo logos za illuminati example carslogos ya mitusubishi, Bmw, na lexus ni product ambazo source yake iliianzia kuzimu, mbali na brand za vinywaj kama cocacola na vinginen ving tu
MASIKINI ndo hua tunasema na kuamini hivyo, kwa sababu ya wivu na pia kutotaka kuamini ukweli kuwa mwenzako amefight kwa nguvu na akili zake na kufanikiwa wakati wewe uko hivyo hivyo,Hi members,
Nasikia kila kona kwamba matajiri wote wakubwa tunaowajua wapo chini ya mtandao wa Freemason/Illuminati. Wawe ni celebrities, wamiliki makampuni makubwa sana, au viongozi maarufu wa nchi mbalimbali duniani; wote naambiwa wamo mule..
Binafsi hii habari inanitisha sana na kunisikitisha nikiambiwa kwamba wamiliki wa makampuni kama Nike, Adidas, Sony, Apple, Airtel, Lg na mengine mengi sana nao ni devil worshippers coz mm binafsi cpendi hayo mambo ase!!
Mwenye taarifa kamili na uhakika kuhusu hili anisaidie. Asanteni&karibuni
olele Pamoja na hivyo, wewe unaisapoti hii hoja kwa mrengo upi? Wewe huoni kama kuna ukweli flani?MASIKINI ndo hua tunasema na kuamini hivyo, kwa sababu ya wivu na pia kutotaka kuamini ukweli kuwa mwenzako amefight kwa nguvu na akili zake na kufanikiwa wakati wewe uko hivyo hivyo,
ni kama njia fulani hivi ya kujustfy umasikini wako
"Yani kama wewe nimfanyabiashara wa bidhaa na unahitaji kuuza internation na ili zikubalike na kusambaa ulimwenguni kote nilazima uwe na kibali cha hawa watu ambacho kikishawekwa kwenye bidhaa yako popote bale itauzika kutokana itaoekana ina hadhi, famous, na inayoenda na wakati example Hii label ya Tiffan unajua ni illuminati hata zile ishara za kwenye hii label zinaleta kauga kidogo"Nktlogistics Duuh!! Ndo mana kizazi cha sasa hakieleweki! Watoto wanazaliwa wakiwa washapinda kuanzia tumboni sababu ya hizo products