Kuna ukweli kwamba matajiri wakubwa SANA duniani wote ni members wa freemasons/illuminati?

Zipo video nyingi za Freemasons na Illuminati youtube. Inaruhusiwa sana kusema siri zao katika mtandao. Tazama katika youtube master mason degree ya freemasons,pia degree nyingine ambazo sasa hivi sizikumbuki.
 
Freemasonry na Illuminati,na kabla hata ya Freemasons ,kwa sababu Freemasons imeanza Ufaransa karne chache zilizopita. Bavarian Illuminati is even more recent,imeanzishwa at about the time of the French Revolution,and was,in fact,the cause of the French Revolution.Hizi secret societies zipo toka enzi za Pharaoh,na lengolake ni kupinga Pharaoc tendencies in leaders. Lakini through the years,hizi secret societies zimekuwa debased.
 
Hao Rothchilds ndio wanaoleta fujo. Hao ndio wanaosema,give me the power to print a nation's money and I care not who write the law. They are printing the money and yet are not able to control the world,that is why you have all this talk about the new world order.
 
Hi members,
Nasikia kila kona kwamba matajiri wote wakubwa tunaowajua wapo chini ya mtandao wa Freemason/Illuminati. Wawe ni celebrities, wamiliki makampuni makubwa sana, au viongozi maarufu wa nchi mbalimbali duniani; wote naambiwa wamo mule..
Binafsi hii habari inanitisha sana na kunisikitisha nikiambiwa kwamba wamiliki wa makampuni kama Nike, Adidas, Sony, Apple, Airtel, Lg na mengine mengi sana nao ni devil worshippers coz mm binafsi cpendi hayo mambo ase!!
Mwenye taarifa kamili na uhakika kuhusu hili anisaidie. Asanteni&karibuni

Nani kakwambia freemasonry ni devil worshipping?
 
asilimia 80% ya manufactured product from west countries & europe wana izo logos za illuminati example carslogos ya mitusubishi, Bmw, na lexus ni product ambazo source yake iliianzia kuzimu, mbali na brand za vinywaj kama cocacola na vinginen ving tu

Acha uongo wewe!
 
"Yani kama wewe nimfanyabiashara wa bidhaa na unahitaji kuuza internation na ili zikubalike na kusambaa ulimwenguni kote nilazima uwe na kibali cha hawa watu ambacho kikishawekwa kwenye bidhaa yako popote bale itauzika kutokana itaoekana ina hadhi, famous, na inayoenda na wakati example Hii label ya Tiffan unajua ni illuminati hata zile ishara za kwenye hii label zinaleta kauga kidogo"

Acha uongo wewe!
 
Hao Rothchilds ndio wanaoleta fujo. Hao ndio wanaosema,give me the power to print a nation's money and I care not who write the law. They are printing the money and yet are not able to control the world,that is why you have all this talk about the new world order.

New world order is nothing but bullshit!
 
1 Baada ya hayo naliona malaika mwingine, akishuka kutoka mbinguni, mwenye mamlaka kuu, na nchi ikaangazwa kwa utukufu wake.

2 Akalia kwa sauti kuu, akisema Umeanguka, umeanguka Babeli ule mkuu; umekuwa maskani ya mashetani, na ngome ya kila roho mchafu, na ngome ya kila ndege mchafu mwenye kuchukiza.

3 Kwa kuwa mataifa yote wamekunywa mvinyo ya ghadhabu ya uasherati wake, na wafalme wa nchi wamezini naye, na wafanya biashara wa nchi wamepata mali kwa nguvu za kiburi chake. (ufunuo 18:1-3)

Mambo haya siyo mageni masikioni na machoni petu, ni ukweli usiopingika kwamba watu wengi hasa viongozi na wafanya biashara wanategemea uchawi wa huyu kahaba ambaye mtoto au tawi lake ni (freemanson)

sisemi kwamba ni wafanya biashara wote lahasha maana wapo wengine Ambao ufanya biashara zao bila kutumia nguvu za kishetani na Mungu wa mbinguni Amewabariki.

Ukisoma nukuu hii hapa chini utagundua kwamba mwisho wa mamansonia hawa utakuwa mbaya sana.

11 Nao wafanya biashara wa nchi wanalia na kumwombolezea, kwa sababu hapana mtu anunuaye bidhaa zao tena. (ufunuo 18:11)

Sasa watu wengi watabisha ni kwa sababu hawana mahisiano mazuri na Mungu, hata kusoma vitabu vyake Vitakatifu ili wapate kuujua ukweli maana yote haya yapo wazi katika maandiko matakatifu.
 
olele Pamoja na hivyo, wewe unaisapoti hii hoja kwa mrengo upi? Wewe huoni kama kuna ukweli flani?
Hamna ukweli wowote na kama kweli ni members wa freemason hiyo siyo sababu ya wao kuwa matajiri..
kuwa tajiri na kuwa member wa freemason ni vitu viwili tofauti
 
"Yani kama wewe nimfanyabiashara wa bidhaa na unahitaji kuuza internation na ili zikubalike na kusambaa ulimwenguni kote nilazima uwe na kibali cha hawa watu ambacho kikishawekwa kwenye bidhaa yako popote bale itauzika kutokana itaoekana ina hadhi, famous, na inayoenda na wakati example Hii label ya Tiffan unajua ni illuminati hata zile ishara za kwenye hii label zinaleta kauga kidogo"

that is bullshit!
 
MASIKINI ndo hua tunasema na kuamini hivyo, kwa sababu ya wivu na pia kutotaka kuamini ukweli kuwa mwenzako amefight kwa nguvu na akili zake na kufanikiwa wakati wewe uko hivyo hivyo,

ni kama njia fulani hivi ya kujustfy umasikini wako
Kwa hiyo wewe nae hapo unajiona umejibu swali kiakili au kitajiri kma fikra zako zinavyojieleza?

Yaani mwenzako ameweka uzi huu kwa lengo la kutaka kujua ukweli wa mambo hayo kwa sababu ni stori ambazo wote tumekuwa tukiziskia mara kwa mara, sasa kinachotakiwa hapa ni kupatika kwa validity kutoka kwa walio na ufahamu kidogo na mambo hayo kama yasemwayo yapo!! Alafu kwa kujitia una akili una kuja na vimaneno vyako vya shombo eti maskini ndio wana mawazo mara sijui wivu ...khaa!! Unaonekana una una matatizo ya comprehension, kama huna unachojua kuhusu likichoulizwa kwenye hii thread kaa kimya baki na maneno yako ya shombo uko!!
 
Umenena kweli kabisa na hivi ndivyo navyoamini hata mimi jamaa wameungana kwa ajili ya kupiga hela sisi tunaendelea kupiga domo huku kuwa ni freemason na stori nyiiingi zisizo na kikomo!!
1458584267640.jpg

Freemason ni imani tu, hiki ni kikundi fulani kilichoamua kujituma kutafuta mali ila hakuna zaidi ya kujituma

Diamond watu wanasema ni freemason ila anapokua anajituma na kutafuta hela wengine tuko vijiweni kupiga soga kuhusu freemason.

Mawazo haya ya freemasons ni product ya elimu dini ya utegemezi tupatayo mashuleni. Katika biblia twasoma watu matajiri kama: Ibrahim na Solomoni, je hao walikuwa ni mosons? Je Mungu aliwakabidhi wao kuhodhi mambo? Tujitahidini kutumia angalau 5% ya bongo zetu kujifunza jinsi ya kufanikiwa.

Freemason ni kama propaganda tu.

Wee tafuta nawe utapata,huitaji kikundi chochote kile.

MASIKINI ndo hua tunasema na kuamini hivyo, kwa sababu ya wivu na pia kutotaka kuamini ukweli kuwa mwenzako amefight kwa nguvu na akili zake na kufanikiwa wakati wewe uko hivyo hivyo,

ni kama njia fulani hivi ya kujustfy umasikini wako
 
View attachment 331602
Freemason ni imani tu, hiki ni kikundi fulani kilichoamua kujituma kutafuta mali ila hakuna zaidi ya kujituma

Diamond watu wanasema ni freemason ila anapokua anajituma na kutafuta hela wengine tuko vijiweni kupiga soga kuhusu freemason.

Safi sana mkuu na hili ndilo naloliamini hata mimi watu wameungana kupiga hela sisi tumebakiza maneno tu!!!
 
Hi members,
Nasikia kila kona kwamba matajiri wote wakubwa tunaowajua wapo chini ya mtandao wa Freemason/Illuminati. Wawe ni celebrities, wamiliki makampuni makubwa sana, au viongozi maarufu wa nchi mbalimbali duniani; wote naambiwa wamo mule..
Binafsi hii habari inanitisha sana na kunisikitisha nikiambiwa kwamba wamiliki wa makampuni kama Nike, Adidas, Sony, Apple, Airtel, Lg na mengine mengi sana nao ni devil worshippers coz mm binafsi cpendi hayo mambo ase!!
Mwenye taarifa kamili na uhakika kuhusu hili anisaidie. Asanteni&karibuni
Ngoja mshana aje
 
Kwa hiyo wewe nae hapo unajiona umejibu swali kiakili au kitajiri kma fikra zako zinavyojieleza?

Yaani mwenzako ameweka uzi huu kwa lengo la kutaka kujua ukweli wa mambo hayo kwa sababu ni stori ambazo wote tumekuwa tukiziskia mara kwa mara, sasa kinachotakiwa hapa ni kupatika kwa validity kutoka kwa walio na ufahamu kidogo na mambo hayo kama yasemwayo yapo!! Alafu kwa kujitia una akili una kuja na vimaneno vyako vya shombo eti maskini ndio wana mawazo mara sijui wivu ...khaa!! Unaonekana una una matatizo ya comprehension, kama huna unachojua kuhusu likichoulizwa kwenye hii thread kaa kimya baki na maneno yako ya shombo uko!!

Duuuuhhh!!! imekuuma ee, pole sana mkuu lakini ndo dawa hiyo.. na unajua dawa zote kali ndo zinaponyesha haraka
 
Back
Top Bottom