kuna ukweli kuhusu hili??

kuna ukweli kuhusu hili??

Hehehe! sasa kama unamchoka mtu kwenye uboifrendi au ugelifrendi hivi ndoa itawezekana kweli?? au kwenye ndoa ndio hakuna kuishi pamoja??

Great thinker.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
sasa miaka kibao mtu anakubandua akuoe kwa kipi kipya jamani?kuna kuchokana kwenye mapenzi,anatafuta kitu fresh unaachwa hapo kama tambara bovu heeee,chezea wanaume wa sasa nini!
 
Back
Top Bottom