Kuna ukweli katika hili

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,454
Reaction score
872,083
Mara nyingi tumeona, tumeshuhudia au yametutokea sisi wenyewe, kuwa na mahusiano ya kimapenzi halafu mambo yako mengi yakanyooka na kuwa super au ikawa ni mikosi mwanzo mwisho. Huwa tunawasifia watu fulani kuwa wana kismati au tunawaponda kuwa wana kimavi. Kuna nguvu zinaendesha dunia na ni nguvu hizo hutuamulia tuwe na nani wapi na kwa wakati gani. Hizo nguvu zikiwa positive kwako utafaidi maisha lakini zikiwa negative kwako utajiona ni mtu wa mikosi nuksi na balaa, hebu chunguza mahusiano yako sasa na ya hapo awali utagundua mengi
 
Kuna ukweli hapa... Na hii mada ishawahi kujadiliwa hapa kuhusu mikosi ila nimesahau heading yake!
 
Kuna imani za nyota katika maswala ya mapenzi, mi si mzuri huko ila wenyewe wanadai kuna nyota zikioana hapo mafanikio hakuna hata kidogo. Pia wanadai kuna nyota zikioana nyumba inameremeta kwa mafanikio
 
Mapenzi ya siku hizi uwe na hela tu hayo mengine Mie naitaga imagination tu! Ukiwa na pesa kila kitu hua kinang'aa
 
Kuna imani za nyota katika maswala ya mapenzi, mi si mzuri huko ila wenyewe wanadai kuna nyota zikioana hapo mafanikio hakuna hata kidogo. Pia wanadai kuna nyota zikioana nyumba inameremeta kwa mafanikio

Fanya utafiti lete nyota hizo nitafute nyota ng'aring'ari sitaki kukosea
 
mmmmh
kumbe kuna mambo ya kupokezana majin thuu sex
 
If it is a theory, kindly put it forward in a manner that is clear to understand and debate on.

But the way you have put it here, its like hearsay that you are seeking opinions on and it doesn't hold much water.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…