Kuna ukweli hapa?

Yule muhindi wa KENYA alieiacha familia yake kisha kwenda kuanza maisha mapya na mtu wa asili tofauti na yake angefaa sana kuja hapa kutusaidia
 
kwa mimi ni kweli pesa ni muhimu

Unaweza ukawa na pesa nyingi lakini unashindwa kukaa na mwenza wako sebuleni mkitoka kazini na kkunywa chai au juice pamoja. kila mmoja kivyake kama tumbili sorry tumbili ni mbunge. kama nyani. mimi bora nipate kiasi lakini niwe together forever na memsahib.
 

Sawa mkuu
 
na kweli maneno matamu mpe steve rnb aandike mashairi
 
Maneno yameandikwa katika karne muafaka kabisa...

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…