Kuna ukweli hapa???

Kuna ukweli hapa???

Tyta

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2011
Posts
12,767
Reaction score
10,539
65247_329342300509424_435738320_n.png
 
yapi ulianza kuona mdada>>>maandishi>>>king kong
mdada>>>kingkong>>>mandishi
be honest???

Kweli dakika fulani nilikua naangalia mzigo kabla sijasoma thn nilianza kumtafuta king kong
 
Kweli dakika fulani nilikua naangalia mzigo kabla sijasoma thn nilianza kumtafuta king kong

HHEHEH..KWELI
[h=2]Jicho la Mvulana liko Fasta kuliko Google Pale linapo search Msichana.[/h]
 
1. Nilianza kumtathimini mdada

2. Nikasoma maelezo

3. Kwa mbali upande wa kulia juu ndio nikamuona huyo kk
 
huo ni mlima tu hamna sokwe hapo..



Hahaa mi niljua kchaka mpaka nlposoma maandshi,


Kama hapo tu mr snoop dog doggy ana drive ndinga ila ngumu kujua haraka
 

Attachments

  • 1394814574885.jpg
    1394814574885.jpg
    62.6 KB · Views: 103
Back
Top Bottom