Kuna ukweli hapa

Kuna ukweli hapa

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,636
Reaction score
220,438
1553012593833.jpeg


Rafiki yangu aliniambia utajua umri umesogea kila unapokutana na polisi unawaona ni vijana wadogo 😂😂😂😂
 
Ni suala la mtazamo tu maana unaeza kuwa na source of income zaidi ya kumi na ukajikuta kipato chako chote cha miaka kumi hakifikii hata robo tu ya pete ya uchumba wa Jennifer Lopez ambae hata hivyo unajua kabisa hawezi kudumu kwenye uhusiano huo.
Thamani yetu iko ndani yetu wenyewe hailetwi na kiatu wala simu wala chochote bali ni suala la kujiamini na kuamua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom