my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,017
- 2,384
Hivi kwanini mtu akipenda chooni kukojoa lazima ajambe. utasikia churururururu halafu mbwi kuna uhusiano gani kati ya kujamba na kukojoa na kwanini mtu awezi kukojoa bila kujamba?
hahahaa mbavu zanguuuHuwenda hizo ni tabia zako mwenyewe.
hahahaa mbavu zanguuu
Sister duh kama Queen Darren.Mimi naomba kuuliza tu hivi kwanini masister du wanaona aibu sana kujamba na ukitaka ugombane naye mwambie umejamba.
Huwenda hizo ni tabia zako mwenyewe.
Kama wewe inakutokea hivyo basi nina wasiwasi sana na upande wako inakotokea yabisi.Hivi kwanini mtu akipenda chooni kukojoa lazima ajambe. utasikia churururururu halafu mbwi kuna uhusiano gani kati ya kujamba na kukojoa na kwanini mtu awezi kukojoa bila kujamba?