Kuna uhusiano gani kati ya hivi vitu viwili

my name is my name

JF-Expert Member
Jan 12, 2015
2,017
2,384
Hivi kwanini mtu akipenda chooni kukojoa lazima ajambe. utasikia churururururu halafu mbwi kuna uhusiano gani kati ya kujamba na kukojoa na kwanini mtu awezi kukojoa bila kujamba?
 
huyo atakuwa bwabwa minajua ukinya lazima ukojoe hata kidogo. hiyo ya kujamba kagua malinda hayo unaweza kuwa wachawi wanakula kitu t
 
Hivi kwanini mtu akipenda chooni kukojoa lazima ajambe. utasikia churururururu halafu mbwi kuna uhusiano gani kati ya kujamba na kukojoa na kwanini mtu awezi kukojoa bila kujamba?
Kama wewe inakutokea hivyo basi nina wasiwasi sana na upande wako inakotokea yabisi.
 
Yaani mtu kawazaa. Katafakariii! Kaona hapana. Ngoja awashirikishe waungwana namna anavyopiga ushuzi wa ngomani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom