kuna ugumu sana kwa anaesoma accounting??

donMramba

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2013
Posts
250
Reaction score
43
je kama sikusoma masomo ya biashara advance accounting itaniwia ngumu??ila nilisoma commerce na book-keeping o-level, advance nlisoma hgl.. :help::help:
 
Kama ulisoma HGL Advanced Level kisha ukaenda kusoma Accounting kweli itakuwia ngumu. Maana kwanza hesabu hukusimaa ile inayoitwa BAM kama sijakosea. Lakini pia mfumo wa masomo ya Accountancy ni mfumo ambao baadae utahitaji kuwa na knowledge kubwa sana ya hesabu hasa katika masomo yake kama Corporate Finance & International Finance, Managerial Accounting & Economics na hata Financial Accounting yenyewe.

Nakushauri kama ulisoma HGL na ulifanya vizuri kasome sheria inalipa tu kama course nyingine kuliko ujiingize kwenye course ambayo baadae ukifanikiwa kumaliza unamaliza kwa GPA ndogo na kukufanya usiuzike sokoni au usimalize kabisa na kuishia kupoteza muda wako bure.
 
Mbona inawezekana kusoma Accounting. Ingawa itakusumbua kiasi fulani. Lakini unaweza kuifanya,maana mwaka wa kwanza utakuwa sio mgumu kwako na mwaka wa pili ndio utakusumbua kiasi na watatu. Na vizuri ni kuwa una msingi wa Book keeping na commerce.
 
mkubwa unanitisha sana,kozi nliichagua na ndo ndoto yangu pia na nmeshachaguliwa kwenda hapo ifm pia nilikuw nimechagua sheria but sikuchaguliwa,sasa unanishauri nini hapa mkuu
 
mkuu asante sana kwa kunipa ma hope nitajituma kwa nguvu zote naamini nitapiga fresh...mbona nlianza chekechea sijui chochote??
 
ukifika ifm ndani ya mwezi mmoja badilisha angalau uchukue bachelor of bussiness adminstration kama wanaitoa, kiumkweli msuli wa account kwa mtu ambaye o level uliikimbia ndugu itakutesa, tuwe wakweli tusaidiane kwa upendo tu ili usije ukaona mambo magumu, ila kama ulidhamiria na desire ipo basi Mungu akutie nguvu, utashinda, tuko pamoja
 
mkubwa unanitisha sana,kozi nliichagua na ndo ndoto yangu pia na nmeshachaguliwa kwenda hapo ifm pia nilikuw nimechagua sheria but sikuchaguliwa,sasa unanishauri nini hapa mkuu

jamaa anakwambia ukweli.kuna uwezekano UKADISCO first semister,,utakuwa unakesha unajisomea mpaka bac..ukipita utapita kwa GPA ya 2.9
 
mkubwa unanitisha sana,kozi nliichagua na ndo ndoto yangu pia na nmeshachaguliwa kwenda hapo ifm pia nilikuw nimechagua sheria but sikuchaguliwa,sasa unanishauri nini hapa mkuu

Mi nakushaur uende akaunt..kuna jamaa angu alisoma hgl na leo anaingia mwaka wa pili akauntin
.kama ni ndoto yako nenda kasomr mkuu hakuna ugum hapo!! Kama huamin jiulize kwanin waliosoma eca wakifika chuo tena accounting bado wanaliwa kichwa!! Huku ni chuoni na sio alevo wala usikate tamaa go ahead!!!
 
je kama sikusoma masomo ya biashara advance accounting itaniwia ngumu??ila nilisoma commerce na book-keeping o-level, advance nlisoma hgl.. :help::help:

chuo gani?mkuu ukikaza mbna watu wanatoka,ila uwe na kichwa cha kudaka na ku desa
 
We kasome,kuna hadi watu wa hkl wanasukuma account tena mademu,we kidume ndo ushndwe nin bana.
 
naenda ifm mkuu..ahsante kwa ushauri wenu naamini ntakaza na ntatoka tuu..
 
Usitishwe kuwa labda utashindwa kufanya vizuri. Ninachoamini ni kuwa kama mtu una kipenda kitu na ukawa unajitihada kukitafuta basi utakipata
 
mkubwa unanitisha sana,kozi nliichagua na ndo ndoto yangu pia na nmeshachaguliwa kwenda hapo ifm pia nilikuw nimechagua sheria but sikuchaguliwa,sasa unanishauri nini hapa mkuu

Kaka yangu alisoma HGl na o level hakusoma bookeeping wala commerce,ila sahivi yupo IFM accounts na anakimbiza kinoma, sema alikuwa na B olevel ya hesabu
nenda kapige ndoto yako mkuu ,ukikaza hakika hakuna ugumu wowote
 
Mi nakushaur uende akaunt..kuna jamaa angu alisoma hgl na leo anaingia mwaka wa pili akauntin
.kama ni ndoto yako nenda kasomr mkuu hakuna ugum hapo!! Kama huamin jiulize kwanin waliosoma eca wakifika chuo tena accounting bado wanaliwa kichwa!! Huku ni chuoni na sio alevo wala usikate tamaa go ahead!!!

hao ECA WA KUUNGAUNGA LABDA
 
ila nilisoma
commerce na book-keeping o-
level.YAANI OLEVO KAMA ULISOMA BK NA COMM MBONA UNAPIGA TU.ILA UJUE HESABU.
 
we soma..asikutushe mtu...ni juhudi binafs na kujituma kwako...i did hgl now am a cpa
 
o level nlipiga commerce na bk af esabu nlikuwa n C
 
Back
Top Bottom