kuna ugumu sana kwa anaesoma accounting??

Nenda kasome kijana,mwanga ulioupata wa Book keeping utafanya first year iwe mteremko.Nenda IFM kaza buti na utafaulu vizuri,ila usijisahau shule ikianza tu na wewe uanze kusoma usiache viporo na kwa mtindo huu GPA lazima isimame.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Inawezekana..weka jitihada..pia mkuu alichokushauri usipuuze..nwaka wa kwanza komaa na ekewa concept..msingi wa jambo lolote ni jitihada..ika elewa pia ulichochagua lazima ukimaliza chuo usome CPA au ACCA ili uwezeuzija vyema
 
Don mramba.....!!!

"people are always there to criticize what you have chooses but not to show you the right way to success..."

unachotakiwa kukifanya wewe kwanza ni kuwa na nia kwani "penye nia pana" yaani kila jambo huenda kwa nia.....!!!! pili anza sasa kuipenda ACCOUNT na tatu jijengee hali ya kuwa na furaha pamoja na amani pindi utakapokuwa class na LECTURER ameingia....(kwa maana rahisi umpende lecturer wa somo husika)
Nadhani kidogo ntakuwa nimeeleweka hivyo big up sanaa ACCOUNT you can do it...!!!
 
mkuu ahsante kwa ushauri,ujue haya ni maisha nitapambana mpaka kieleweke..
 
asanteni sana kwa ushauri wenu,naahidi ntaufanyia kazi kwa moyo wangu wote..ili mwisho wa siku niweze faulu vizuri..ee mungu nisaidie
 
Nenda kasome kijana,mwanga ulioupata wa Book keeping utafanya first year iwe mteremko.Nenda IFM kaza buti na utafaulu vizuri,ila usijisahau shule ikianza tu na wewe uanze kusoma usiache viporo na kwa mtindo huu GPA lazima isimame.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

AU SIO MKUU HAPA NI KUPIGIKA TUUUUUUUUUUUUUU:decision:
 
Don mramba.....!!!

"people are always there to criticize what you have chooses but not to show you the right way to success..."

unachotakiwa kukifanya wewe kwanza ni kuwa na nia kwani "penye nia pana" yaani kila jambo huenda kwa nia.....!!!! pili anza sasa kuipenda ACCOUNT na tatu jijengee hali ya kuwa na furaha pamoja na amani pindi utakapokuwa class na LECTURER ameingia....(kwa maana rahisi umpende lecturer wa somo husika)
Nadhani kidogo ntakuwa nimeeleweka hivyo big up sanaa ACCOUNT you can do it...!!!

Mkuu asanteee
 
Ugumu unategemea na chuo, kama ulikimbia masomo ya accounts A level usije kujaribu kwenda MUCCOBS au MZUMBE hutamaliza chuo mkuu! Amini kwamba
 
Back
Top Bottom