Kuna ubaya wowote juu ya Umri wake?

Kuna ubaya wowote juu ya Umri wake?

Mfalme Daudi

Senior Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
110
Reaction score
245
Habari za kazi wana MMU!Nadhani mko na weekend powa ikizingatiwa ndo mwanzo wa mwezi!

Nina mpenzi wangu ambaye tumeanza nae mahusiano ni mwaka wa tatu sasa na mimi ndo mwanaume wake wa kwanza kumtoa pad_lock..kiukweli ananipenda na kunijali na ananisaidia kwa mambo mengi hasa ya kiuchumi kwangu wakati mwingine hata kwa marafiki na familia sababu kwao wanajiweza na anaipenda familia yangu na Marafiki pia nao wanamkubali!Ni mzuri na ananifaa..

Tatizo ni kwamba amenipita miaka miwili kiumri!Je,kuna ubaya wowote kwenye hilo?
 
Endeleeni na maisha hiyo hata sio ishu kwa mie nijuavyo....
make unaeza kumpata huyo unaemzidi umri lakini akawa na makolokocho mengi!!!!
hata usiemjoy kuwa nae kwemye uhusiano...

Nimeipenda avatar yako.
 
Kwa hyo unatembea na mtu sawa na mama ako sio?
 
Duh!!! Yaani tofauti ya miaka miwili tu ndio unataka kumtema!? Chakarika Mkuu kabla wajanja hawajakupora!
 
Everlyn Nlikuwa natafuta like kumbe hamnaga kwenye JF!Thanx Girl.
 
Umri huo mm nauona siyo mbaya kwa hyo nakushauri uoe provided that mnapendana.
 
Habari za kazi wana MMU!Nadhani mko na weekend powa ikizingatiwa ndo mwanzo wa mwezi!

Nina mpenzi wangu ambaye tumeanza nae mahusiano ni mwaka wa tatu sasa na mimi ndo mwanaume wake wa kwanza kumtoa pad_lock..kiukweli ananipenda na kunijali na ananisaidia kwa mambo mengi hasa ya kiuchumi kwangu wakati mwingine hata kwa marafiki na familia sababu kwao wanajiweza na anaipenda familia yangu na Marafiki pia nao wanamkubali!Ni mzuri na ananifaa..

Tatizo ni kwamba amenipita miaka miwili kiumri!Je,kuna ubaya wowote kwenye hilo?
Dhamiri yako inakuambiaje? sikiliza moyo wako, unaona ishu ya umri sio tatizo kwako?kama unaona hivyo then enedeleaaaa lakini kama ni tatizo rethink about that na uone utaliangalia vipi ili lisijeathiri ndoa yako mbeleni
 
Asante Mrembo.Ila kuhusu dhamiri yangu iko saafi!Na umri kwa upande wangu sio tatizo! ila kuna watu were argue me about it!ndo mana ikabidi niulize kama kuna tatizo!
 
Kama unampenda owa lakini pindi akizeaka mapema kabla unanguvu isiwe chanzo cha kumsariti hawa viumbe huchoka mapema
 
Kama una busara na unatafuta utulivu endelea; wanawake tunawazidi miaka 2 kwa busara na utulivu wale ambao tunashare nao umri. So huyo kakizidi miaka 4 in total; ili muendane fast foward busara na utulivu uwe wa 2017 ndipo itawork.
Ukienda kiumri wako utamsumbua sana huyo mdada.
 
yani hakuna kitu sipendi anayeclaim kunipenda kuangalia mapungufu yangu mawili na kusahau mazuri mia nane themanini!
come on guys !!
tujifunze kuappreciate wenzi wetu!hakuna ukamilifu chini ya dahari unless umba mgomba uishi nao jamani!
dada wa watu anakupenda,wewe ndo first wake,anakujali,anakuthamini,anajali familia yako ,ana heshima,mna mahusiano ya miaka mitatu na zaidi
UNATAKA NINI KINGINE?INI HEBU NIAMBIE!
kwenye matrimonial bed hakuna passport bana !ah
 
utafit uliopatikana mwaka juz, unaonesha kwamba mwamke hazeek mapema bali kuna umri flan huwah kuchakaa , lakn mwanamme hachakai mapema but huzeeka haraka. NOTE: kuna uzee wa aina mbili, 1.uzee bandia(wakmatatizo) na 2.uzee halisia(wa kiumr)
 
Back
Top Bottom