Kuna ubaya kumpa penzi mama mkwe?

Status
Not open for further replies.

Muulize Mkeo Hilo Swali atakupa Jibu zuri zaidi
 

kumbe zero sometimes unakuwaga na akili, imekaa vzr sana!
 

back then ulikuwa na mapwenti!
 
Kuna makabila ya ******* sijapata kuona. Yaani wewe na mama mkwe wako mnakaa kbs bar mnagida maji wkt sisi wengine hata meza moja hatukai tusizoeane?

Hata wewe kuna mila zako zingine sisi tunaziona ni za *******
 
fanya tu ni nani asiye jua kuwa una mapepo ya mapenzi wewe ni paka mapepe
 
Acha kudanganya watu wewe aliyekwambia mila zetu Ziko hivyo Ni Nani?Kama hujui kitu Ni bora kufanya uchunguzi kwanza


Usikurupuke Dogo. Soma katikati ya mistari utapata maana.

Bazazi!
 



" Tena mtu mume akimwoa mke pamoja na mama yake, ni uovu
mkuu; watachomwa moto, yeye mume na hao wanawake pia; ili
kwamba usiwe uovu kati yenu." - mambo ya walawi 20:14



Sent using wireless by wire
 
Dunia na vimbwanga vyake!
'
Hivi inakuaje unamtamani mama mkwe?Unaanzaje?
 

Angekuwa baba mkwe ingejuwaje??? Achana na ujinga huo.
 

Je kuna ubaya mkeo akimpa tamu baba yako?
 

mliooa kwa mabinti mna kazi...lakini waliooa kwa wazee, heshima iko mbele
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…