Kuna ubaya gani Zanzibar ikajitenga na kuwa huru kama Zamani?

Naona kwa kadri muda unavyosonga mbele mambo yanazidi kubadilika.Falsafa ya wananchi na viongozi vinapishana.Kama wazee wa Pemba wanadai Pemba imetengwa,na wa Unguja wanawaona wapemba kama watwana,inatia shaka hata kama zanzibar ikiachwa peke yake itaendelea kuwa Zanzibar tuionayo.Uhakika nilionao hadi sasa Zanzibar kiuchumi inabebwa na Tanganyika katika mambo mengi.Uwezekano wa Zanzibar kujiongoza hata kwa miezi michache ni ndoto.Kikwete alikwishasema mambo yanayohusu muungano yanazungumzika ikiwa ni pamoja na la kujitenga.La msingi sheria iko wazi kuhusu taratibu.Tatizo nadhani la wazanzibar wengi ni kutojua mkondo gani waufuate katika kufanikisha hili.Ningependa niwashauri wazanzibar ya kwamba,kupiga kelele za kujitenga haisaidii chukua hatua adhimu.Hakika yatakuwa mapambazuko mapya kwenu.
 
The politics of division. The facf of the matter is, non is better off without the other. We could survive yes, but would we be better? Na katika matatizo yotee ya TZ, muungano is really not that big of a problem.
Well said Kinyambiss. In fact, in my opinion, not much would probably change in bara, but Zanzibar might immediately fall into crisis. Electrification of the island is one such example. Nchi zote zilizomeguka sasa zinafikiria upya miungano yao. Ukraine ni mfano unaokuja haraka haraka machoni.
 
Nitatoa high light ya baadhi ya activists kutoka Zanzibar ambao wanafanya shughuli nzima ya kupigania uhuru wa Zanzibar.Maana kuna wengi hujaribu kufumba mashikio na kujaribu kulifanya kama hili suala ni wachache tuu ndio wanaopigania kuvunja muungano.

#EU-MUWAZA (Mustqbal wa Zanzibar) ni gurupu la wasomi wa kizanzibari hufanya makongamano kila leo kuzungumzia masuala ya Zanzibar na muungano.

#Gurupu jengine linaendelea na kesi huko The Hague (nafikiria Kubwajinga ushawahi kuona kwenye magazeti).

#Kuna MZALENDO.NET-blog tuu

#Kuna kitu kinaitwa kauli ya #umoja wa wazalendo-Gonga Google utaona huchapisha sana machapisho kwenye MZALENDO

#JUMIKI-hawako wazi kutokana na sheria za nchi hairuhusu hilo, lakini hufanya makongamano mara nyingi kupigia kelele hili.

#CUF-hidden agenda kutokana na sheria za kupinga muungano hupewi registration, kwa hiyo wamebadilisha sera na kuweka serekali 3 (which is fine).These guys soon will be in SMZ...so be prepared for change.

#CCM Zanzibar-Hawa nao wamebanwa na sera za Butiama, lakini huenda wakatumia mgongo wa CUF kuwasilisha hoja zao.

#Baadhi ya watanganyika pia wapo wanaopinga muungano

Nafikiria hapo utaona hiyo movement inavyokwenda kuwa kelele za wazalendo wa kizanzibari zinafanya kazi na hatimaye SMZ itawaunga mkono hilo gurupu linalofuatilia kesi The Hague.

Freedom is a free commodity to be attained at a high price or free, its up to!
 
Anzisheni G55 mwende bungeni
 
Mimi kama mzanzibari naunga mkono hoja yoyote ya kuvunja muungano.Na sioni cha kulaumu kutokana na kuwa nimeshastahamili kwa muda wa miaka takriban 40 bila ya kuona tunda lolote la muungano.

Muungano ni expensive agenda ambayo kwa ufupi nchi za chini ya jangwa la sahara hatujafikia hatua ya kufanya muungano.Tuna matatizo ambayo ni basic kwa raia wetu kama maji, umeme, chakula n.k Hivyo hatuna nyenzo za kuresolve complexity ya muungano.

Pili mimi kama mzanzibari nathamini sana utaifa wangu (licha ya umasikini uliolizonga taifa la Zanzibar) si rahisi kukubali kufuta utambulisho wangu na kuniambia nijitambulishe kwa utaifa mwengine.Hii pengine kama tungelikuwa na nyenzo za kuresolve union problems lingeweza kuwa fixed...lakini hoja ya mwanzo nyenzo hizo hatunazo.Zipo nchi kama UK, bado watu wanaendelea kujitambulisha na nchi zao Ireland, Scotland etc

Tatu kuleta amani na utulivu ndani ya nchi.Naamini kabisa kuendelea kulazimisha wazanzibari wabakie ndani ya muungano kunaweza kusababisha vurugu na kuzorotesha kila kitu.

Watanzania tuna mambo mengi ya kufikiria katika kujiletea maendeleo hatuna muda wa kupoteza na kuunguza vichwa ni jinsi gani tutarekebisha matatizo ya muungano....simple and cheap solution ni kuvunja na kuiacha Zanzibar na Tanganyika zikawa kama mataifa huria.

N.K
Kama ni kitu rahisi kiasi hivyo....hebu tafakari japo kidogo tu: - kweli ghafla uvunjike na kila mtu atakiwe kurudi kwenye ardhi ya asili yake kwa hiari ama mabavu kutakalika? ...huko visiwani kutakuwa na pahala kutosha kuwahifadhi 'wakimbizi' wa kipemba na wa unguja waliojaza kila kona huku Bara bila bughza yoyote huku wakimiliki ardhi na raslimali nyingine...Acha hayo.
 
Mimi nafikiri itakuwa ni vizuri muungano huu ukivunjwa, ili pawe na nchi mbili huru: Tanganyika na Zanzibar.

Watanganyika wanaona kuwa wazanzibar wanapendelewa katika muungano huu. Hali kadhalika wazanzibar wanaona kuwa watanganyika ndio wanaibania Zanzibar kufanya mambo yake itakavyo.

Ni viongozi wa CCM ambayo wanang'ang'ania huu muungano. Ila ni vizuri kuwa baadhi ya viongozi wa CCM Zanzibar wameonyesha kuushtukia. Hawa watasaidia hatimaye kuuvunja huu muungano. Na hii itasaidia kulirudisha taifa la Tanganyika lililokufa mwaka 1964, huku Zanzibar ikibaki.

Muungano ufe! Hauna tena faida. Ni hasara (na hasira) kwa pande zote mbili. Tubaki nchi mbili jirani tu.
 
Kama ni kitu rahisi kiasi hivyo....hebu tafakari japo kidogo tu: - kweli ghafla uvunjike na kila mtu atakiwe kurudi kwenye ardhi ya asili yake kwa hiari ama mabavu kutakalika? ...huko visiwani kutakuwa na pahala kutosha kuwahifadhi 'wakimbizi' wa kipemba na wa unguja waliojaza kila kona huku Bara bila bughza yoyote huku wakimiliki ardhi na raslimali nyingine...Acha hayo.

Mkuu Kapongo, hilo la wazenji kujazana Zenji muungano ukivunjika lisikukondeshe, linawahusu wazenji wenyewe. Lisikuumize kichwa.

Wanaong'ang'ania muungano wasijidai kuwa wanawahurumia sana wazenji kuwa muungano ukivunjika wazenji watapata tabu, hivyo "tuung'ang'anie ili wazenji wasipate tabu".

Zanzibar iwe huru, na Tanganyika iwe huru.
 
kila siku nashindwa kupata majibu ya kujitosheleza kutoka mtu wa upande wa zanzibar anieleze, kwanza mimi ni mbara na ktk suala la muungano sioni madhara yoyote kama utavunjika kwa upande wetu na nashindwa kuelewa wazanzibar hoja yao kwamba sisi tunawalazimisha kua ktk muungano, labda mzanzibar mmoja atueleze faida tunazopata kwa icho kinachoitwa tunawang'ang'ania wazanzibar!
nadhan ili ni fumbo ambalo wengi wabara hatuwaelewi wazanzibar wanachokisema labda waje wazi watueleze nini wangeendelea kama muungano utavunjika na kwa sasa vikwazo ni nini na wabara wanafaidika vipi!
 
Nimeamini kuwa blind nationalism is dangerous thing,baadhi ya michango kuhusu utaifa negate our common humanity.Nationalism is dead weight when it come to deal with issues Pertaining globalization,advances in ICT,climate change.A creed that holds one superior simply because he was born within given boundary is serious distortion of prevailing reality and belongs to realm of better forgotten.
 
Dare break it if you can !!!!! But dont start crying later b'cause it will be like spilt milk - too late.
 
Muungano ni kama ndoa

-Zanzibar ilikuwa huru kabla ya Muungano

-Tanganyika pia ilikuwa haijaungana na ncho yoyote

-Nyerere na Karume (bila ridhaa ya wananchi waliokuwa wakiwatawala) wakaona bora waunganishe nchi hizi mbili

-Huku Memorandum za Muungano zikafishwa na imefika mahala kosa kuziulizia

-Muungano umelega lega na malalamiko (hasa from visiwani kuwa uko one sided) while on the other hand Bara wanaona Zanzibar wanaishi kwa INCOME SUPPORT za wa Bara hivyo ni mzigo

-Sasa kama imeshindikana kwani kuna ubaya gani Muungano ukavunjwa na kima mmoja akarudi kuwa na nchi yake bila kuingiliana?

Ohhh jambo lingine

Je ni kweli BARA ndio wanaoungangania huu Muungano wakati VISIWANI hawana hawautaki?

Apparently kwenye mitaa ya huko visiwani kuna habari kuwa WAZANZIBARI be if CUF au CCM WANA one thing in common: HAWAUTAKI MUUNGANO lakini its politocally incorrect kusema live lakini ukweli ni kuwa wao hawautaki

kwa nini tusiwaache na visiwa vyao?

Ubaya ni kutotimiza viapo vya waasisi mababa wa mataifa mawili yaliyoungana. Au nikuulize hivi, kuna ubaya gani kumwacha mkeo au mumeo ambaye baba zenu waliapizana kuidumisha ndoa yenu milele mpaka walipofariki, pamoja na kwamba waliona mapungufu yenu wao wenyewe na waliyavumilia na kuyasuluhisha?

Leka
 
Naona kwa kadri muda unavyosonga mbele mambo yanazidi kubadilika.Falsafa ya wananchi na viongozi vinapishana.Kama wazee wa Pemba wanadai Pemba imetengwa,na wa Unguja wanawaona wapemba kama watwana,inatia shaka hata kama zanzibar ikiachwa peke yake itaendelea kuwa Zanzibar tuionayo.Uhakika nilionao hadi sasa Zanzibar kiuchumi inabebwa na Tanganyika katika mambo mengi.Uwezekano wa Zanzibar kujiongoza hata kwa miezi michache ni ndoto.Kikwete alikwishasema mambo yanayohusu muungano yanazungumzika ikiwa ni pamoja na la kujitenga.La msingi sheria iko wazi kuhusu taratibu.Tatizo nadhani la wazanzibar wengi ni kutojua mkondo gani waufuate katika kufanikisha hili.Ningependa niwashauri wazanzibar ya kwamba,kupiga kelele za kujitenga haisaidii chukua hatua adhimu.Hakika yatakuwa mapambazuko mapya kwenu.
wewe acha stori za ali nacha, hivi kabla ya muungano zanzibar ilikuwa inaendeshwa na nani? ,na kwa taarifa yako zanzibar iliyaona maendeleo zamani sana kabla hata ya nchi zote za afrika mashariki, wakati zanzibar ina umeme ,tanganyika lilikuwa ni pori tupu. sasa ndo nashangaa ndani ya muungano zanzibar haina umeme miezi 2.Usiulize suali ambalo jibu lake lipo kwenye historia.
 
Ubaya ni kutotimiza viapo vya waasisi mababa wa mataifa mawili yaliyoungana. Au nikuulize hivi, kuna ubaya gani kumwacha mkeo au mumeo ambaye baba zenu waliapizana kuidumisha ndoa yenu milele mpaka walipofariki, pamoja na kwamba waliona mapungufu yenu wao wenyewe na waliyavumilia na kuyasuluhisha?

Leka
kumbuka hata shule ya msingi tuliapishwa kwa nyimbo kuilinda CCM , je tuilinde? unaukumbuka ule wimbo,
"naapa naahidi ,mbele ya chama mapinduzi nitakulinda mpaka kufa"
 
kila siku nashindwa kupata majibu ya kujitosheleza kutoka mtu wa upande wa zanzibar anieleze, kwanza mimi ni mbara na ktk suala la muungano sioni madhara yoyote kama utavunjika kwa upande wetu na nashindwa kuelewa wazanzibar hoja yao kwamba sisi tunawalazimisha kua ktk muungano, labda mzanzibar mmoja atueleze faida tunazopata kwa icho kinachoitwa tunawang'ang'ania wazanzibar!
nadhan ili ni fumbo ambalo wengi wabara hatuwaelewi wazanzibar wanachokisema labda waje wazi watueleze nini wangeendelea kama muungano utavunjika na kwa sasa vikwazo ni nini na wabara wanafaidika vipi!

hilo waulize wana ccm bara, msekwa ,makamba, mwinyi na wengineo...kwasababu sera za ccm ni kuelekea katika serikali moja...kwahiyo ,bado wanaongozwa na mtu aliye kaburini,(nyerere). sasa wanatumia nguvu za jeshi, na polisi kulazimisha huu muungano. hata bara kuna wengi hawautaki muungano. kwahiyo ,siku ccm ikishindwa basi mchezo umekwisha. sio siri wanzanzibari wamechoka na huu udhalimu wa muungano. kipingamizi ni ccm tu. likini dawa iko jikoni. unayo habari kama bendera ya ccm inapepea katika kambi za jeshi?
 
Kama ni kitu rahisi kiasi hivyo....hebu tafakari japo kidogo tu: - kweli ghafla uvunjike na kila mtu atakiwe kurudi kwenye ardhi ya asili yake kwa hiari ama mabavu kutakalika? ...huko visiwani kutakuwa na pahala kutosha kuwahifadhi 'wakimbizi' wa kipemba na wa unguja waliojaza kila kona huku Bara bila bughza yoyote huku wakimiliki ardhi na raslimali nyingine...Acha hayo.

Kwanini ufikirie watu kurudi makwao wakati kuna sheria nyingi tuu za uhamiaji na watu wanaweza kuzitumia kuishi au kuomba uraia katika nchi mbili hizo?

Haya si ndo mawazo mgando na woga tulionyweshwa na Nyerere?

Hapa hoja ya msingi ni kuwa muungano upo na hakuna atakae kataa kuwa hauna matatizo.Kama tunakubali matatizo yapo ni njia gani ya kuresolve, nilisema awali kuwa uwezo wa kuresolve complexity ya muungano na umasikini uliotuzonga hatuna....

Sasa kuvunja is one of the many option ambayo watanzania wanaogopa bila ya sababu ya msingi....sasa kama kiongozi mzuri ni yule mwenye kufanya maamuzi bora kwa wananchi wake, ambapo JK sioni kama amefanya maamuzi mazuri kupoteza resources kujaribu kufix kero za muungano....
 
kila siku nashindwa kupata majibu ya kujitosheleza kutoka mtu wa upande wa zanzibar anieleze, kwanza mimi ni mbara na ktk suala la muungano sioni madhara yoyote kama utavunjika kwa upande wetu na nashindwa kuelewa wazanzibar hoja yao kwamba sisi tunawalazimisha kua ktk muungano, labda mzanzibar mmoja atueleze faida tunazopata kwa icho kinachoitwa tunawang'ang'ania wazanzibar!
nadhan ili ni fumbo ambalo wengi wabara hatuwaelewi wazanzibar wanachokisema labda waje wazi watueleze nini wangeendelea kama muungano utavunjika na kwa sasa vikwazo ni nini na wabara wanafaidika vipi!

Hiyo nadharia haijaja bahati mbaya imeanzia kwenye kuundwa kwa muungano wenyewe.Quote kutoka kwenye kitabu au thesis ya Dr.Yussuf:

Nyerere kwa hivyo alitishia kuondosha askari
polisi wake Zanzibar, pindi Karume angelikataa kujiunga na Muungano. Habari hizo
zinakaririwa kwa urefu katika kitabu cha Amrit Wilson (US Foreing policy and Revolution
- The Creation ofTanzania) kuhusu vipi Zanzibar ililazimishwa kushiriki katika
Muungano huo.

Hayo mambo yalihusiana na Cold War ndio motive ya muungano, mwenye akili zake ni lazima atakubali kuwa huu ni woga tuu wa miaka hiyo...na watanzania hatuna haja ya kupoteza muda kuendeleza sera zilizotumika kipindi cha cold war.
 
Wabantu walioko Zanzibar ni ndugu za wabara. Mapinduzi ya Zanzibar yalikuwa ya; (1) Kumuondoa Sultani kibaraka wa waingereza na (2) Weusi kujikomboa kutoka kwenye minyororo ya wahindi, waarabu na waajemi waliokuwa wanamiliki ardhi na uchumi wa visiwani na kuwatumikisha wao kitumwa. Mwaka 1964 muungano zaidi ulikuwa na faida za kiusalama hasa kwa Zanzibar, lakini leo hii sio usalama tu bali pia kuna faida za kiuchumi ambazo pande zote zinafaidika nazo.

Wewe ni muongo mkubwa hebu tupe sababu za kiusalama zilizokuwa wakati wa unazishwaji wa muungano. Pili tupe sababu za kiuchumi kwa zanzibar nchi ambayo sasa hivi ni kama dependent economy wakati before 1964 uchumi wake ulikuwa among the top african economies!!!!
 
Back
Top Bottom