mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,701
hahahamama ntilie wa dar kwa kupunja hawajambo
Wapi hapo mimi ni muhenga Pana nifaa mdau wa nyimbo zile hahahahhaLevel of competition Dar ni kubwa saana kila mama ntilie anajaribu kujitofautisha na wenzie ili kuwavutia wateja zaidi
Mwengine mpaka chai anatia tui
Kuna mwingine yeye ana radio yake anatia miziki ya wahenga tuu basi utakuta msururu wa Wahenga
Huyu mwingine ndio kazidisha kazi ya wahudumu 2 yeye ana wahudumu visichana vidogo dogo kama 6 hivi na huwa anavibadilisha kila baada ya muda
kuna haja ya kuelimishwa aisee.Yaani mimi nakuunga mikono na miguu kabisa kwa mama ntilie wetu wa mwanza naweza kusema ni wajinga hawajui kumshawishi mteja kwamba akienda arudi tena yaani wapo wapo tu kama makontena bandarini yanasubiri kupakiwa wana lugha chafu unaweza kuagiza chakula hata nusu saa wewe umekaa tu kijiweni unasubiri ukienda kumuangalia kwanza ndiyo anatukana tu wasaidizi wake mama lishe wa Mwanza mubadilike
Level of competition Dar ni kubwa saana kila mama ntilie anajaribu kujitofautisha na wenzie ili kuwavutia wateja zaidi
Mwengine mpaka chai anatia tui
Kuna mwingine yeye ana radio yake anatia miziki ya wahenga tuu basi utakuta msururu wa Wahenga
Huyu mwingine ndio kazidisha kazi ya wahudumu 2 yeye ana wahudumu visichana vidogo dogo kama 6 hivi na huwa anavibadilisha kila baada ya muda
mama ntilie wa dar kwa kupunja hawajambo