Kuna tofauti gani kati ya Malaya na kahaba?

Najua wote mko poa wakuu,
Naomba mnieleweshe utofauti kati kuitwa Malaya na kuitwa kahaba!

Nawasilisha!
Kahaba ni Mwanamke mwenye wapenzi wengi ilhali Malaya ni mwanaume mwenye wapenzi wengi kwa maana kwamba Kahaba ni mwanamke na Malaya ni mwanaume.
 
kahaba (mara nyingi ni mwanamke) anatoa huduma ya mapenzi kwa ajiri ya kujipatia pesa, ila malaya (anaweza kuwa me au ke) ni mtu mwenye wapenzi wengiii, atakua na huyu leo na kesho utamuona na mwengine sio kwa sababu ya pesa ila ni hulka yake tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom