Illuminata Rodgers
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 2,845
- 2,017
Habarini wanajf,wakati wa sexual inasemekana kuwa mwanamke pia huwa anamwaga but my self sijawahi kutana na hicho kitu tangu nianze kushiriki sex,asa natakakujua kuna tofauti ipi kati ya mwanamke anaemwaga na wengine ambao hatujawai exprience hicho kitu like me?