Kuna tofauti barua ya kazi ikiandikwa kwa mkono au kuchapwa na mashine?

Its depend na mhusika anatakaje. Kwa mi naona typing ni better kuliko mkono. Manake mkono unaweza andika mwandiko, au herufi zingine ambazo msomaji akashindwa kuzirecognize kwa uharaka, so inaweka kipingamizi.

Ila kuna taasisi/sehemu zingine, wanahitaji barua iliyoandikwa kwa mkono. Mfano mzuri tunaona TANROADS, Mahakama na sehemu zingine binafsi.
Mkuu "its depend" una maana gani?

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom