Mkimbizi99
Member
- Jul 18, 2020
- 66
- 62
Kama yapi mkuuNi kweli ila inategemea na sehem maana kuna makampuni nayajua ukiandika kwa mkono lazima wakuite na huwa wanasisitiza kabisa sijui huwa wanatumia vigezo gani
TanRoads, Tanapa na mengine ya kiserikaliKama yapi mkuu
Mada imefungwa hapa.Kama moja ya sifa ya kazi ni kujua kusoma na kuandika vizuri barua lazima iandikwe kwa mkono na mara nyingi hua ni kazi za madaraja ya chini hofu ni kuwa wanaweza recruit mtu ata asiyejua kusoma na kuandika,
Kwa kazi zinazohitaji sifa kubwa kama degree masters na kuendelea barua lazima uichape kwakua muombaji atakua anajua kusoma na kuandika vizuri na kazi zake nyingi zitahitaji ujuzi wa compyuta.
"WASALAAM"
Wengine wanataka uandike kwa Mkono ili waone na Muandiko wako ukoje. Inawezekana kazi utakazoenda kufanya zinahusisha kuandika kwa Mkono pia.Its depend na mhusika anatakaje. Kwa mi naona typing ni better kuliko mkono. Manake mkono unaweza andika mwandiko, au herufi zingine ambazo msomaji akashindwa kuzirecognize kwa uharaka, so inaweka kipingamizi.
Ila kuna taasisi/sehemu zingine, wanahitaji barua iliyoandikwa kwa mkono. Mfano mzuri tunaona TANROADS, Mahakama na sehemu zingine binafsi.
una-upload documents zako ulizo-scan kama vyeti, CV, na iyo barua ya mkono.Ukiomba Kwa mtandao (online) inakuwaje?
Ni ujinga tu kwani mtu hawezi kuandikiwaMada imefungwa hapa.
Unaomba kazi kwa mtandao si unaambatisha barua...Kama imeandikqa kwa mkono inakuwa scanned..nakutumwaUkiomba Kwa mtandao (online) inakuwaje?
Ni ujinga tu kwani mtu hawezi kuandikiwa
We ni kilaza ,watajuaje kuwa ni mwandiko wangu.nikijua nina hayo mapungufu why nisimpe mtu aniandikieWewe ndio utakuwa mjinga ukiacha kuandika kwa mkono ukaenda kutoa pesa stationery ili uchapiwe barua wakati kuandika kwa mkono ni bure.
Ndio maana ukaambiwa aliyeandika kwa mkono atapewa kipaumbele kwa sababu wewe uliyeenda kuchapa kuna mambo 3
1.either ni mvivu ukamtuma mtu wa stationery
2.hujui kuandika barua ukamtuma mtu wa ststionery
3.Una mwandiko mbovu unaogopa usionekane
Na kumbuka kazi inapotangazwa hauombi peke yako wanaomba maelfu ya watu kwa hyo vitu vidogo kama hivi ndio hutumika kuwachuja watu hadi kupata idadi wanayoitaka.
Sasa wewe endelea kusema ni ujinga uwe unakatwa kila siku halafu sijui utawashtaki wapi au sijui utaandamana wapi.
wewe ni mjinga hujielewi ukimpa mtu akuandikie na kwenye usahili utamleta huyo mtu akujibie maswali?Haimaanishi ukiforge barua ndio umeshapata kazi bado kuna milolongo mingi hadi kuipata hiyo kazi kuanzia written interview ukipita kuna oral interview na ukishafaulu hapo kabla ya kusaini mkataba utaombwa ulete vielelezo ikiwemo vyeti vyako.We ni kilaza ,watajuaje kuwa ni mwandiko wangu.nikijua nina hayo mapungufu why nisimpe mtu aniandikie
Kwani unapokua unaandika wanakuona?!Wengine wanataka uandike kwa Mkono ili waone na Muandiko wako ukoje. Inawezekana kazi utakazoenda kufanya zinahusisha kuandika kwa Mkono pia.
Unaongea kama unaongea na mumeo pumbavu unadhani mi ni mtoto.nimeshafanya sana interview na nimeshafanyia sana watu interview kenge weewewe ni mjinga hujielewi ukimpa mtu akuandikie na kwenye usahili utamleta huyo mtu akujibie maswali?Haimaanishi ukiforge barua ndio umeshapata kazi bado kuna milolongo mingi hadi kuipata hiyo kazi kuanzia written interview ukipita kuna oral interview na ukishafaulu hapo kabla ya kusaini mkataba utaombwa ulete vielelezo ikiwemo vyeti vyako.
Kama wewe ni mburula watakunasa tu kima wewe.
Unaongea kama unaongea na mumeo pumbavu unadhani mi ni mtoto.nimeshafanya sana interview na nimeshafanyia sana watu interview kenge wee
Hunijui sikujui unawashwa njoo nikudinye kenge jike weeKajaribu kumfanyia mtu interview uone moto waje kama hawajakutatua marinda hayo.
utakuja kusimulia hapa ukishamwaga mavi nyuma.